Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni

View attachment 2974660
Ndiyo maana Marais wenye akili kama Ruto wanataka kuligeuza jeshi la Polisi liwe Police Services siyo jeshi!
 
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni

View attachment 2974660
Wakili mzima anaandika kituo cha kati??? Sijui lini watu watajua hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati bali ni Kituo Kikuu cha Polisi kwa mkoa husika.
 
ndio lazima wawajibike kadiri inavyohitajika na kwa mujibu wa sheria. Ni vizuri kua wastahimilivu na wenye subra 🐒
 
Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa"
hata iwe namna gani kuwajibika lazima wawajibike ipasavyo kadiri walivyo husika kwenye walichokiibua 🐒
 
Wakili mzima anaandika kituo cha kati??? Sijui lini watu watajua hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati bali ni Kituo Kikuu cha Polisi kwa mkoa husika.
Na wewe ni polisi mwenye division IV ya point 30 ?Au ni Polisi mwenye degree?
 
Unaona ulivyo mjinga 😃
Kwa mawazo yako unafikiri kwa kua nimemkosoa wakili basi umehitimisha ninaunga mkono udhalimu wa Polisi.
Grow up nigga.
Siwezi kua Polisi. Better be jobless for life kuliko kua mbwa wa watawala.
 
Back
Top Bottom