Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa"
Pia polisi wengi ni failures waliingia huko baada ya option zote za kusurvive kugoma.

Hivyo ni rahisi pia kuwaongoza maana wanajua bila kutii amri hawana kazi na hawawezi kusurvive nje ya hapo.
 
Back
Top Bottom