Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni

View attachment 2974660
Kweny ile kesi itaisha kama ile ya kina Mwabukusi na Dr Slaa.

Kadiri inavyotrend ndivyo makosa ya polisi yanazidi kuwa wazi.

Ni vile tu Polisi wako juu ya sheria.

Insha Allah itaisha.
 
Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa"
Huu ndo ukweli. Hata wewe ungekua ni polisi huna uwezo wa kukataa amri za boss wako.
 
Kweny ile kesi itaisha kama ile ya kina Mwabukusi na Dr Slaa.

Kadiri inavyotrend ndivyo makosa ya polisi yanazidi kuwa wazi.

Ni vile tu Polisi wako juu ya sheria.

Insha Allah itaisha.
Mimi nataka iende Mahakamani ili Muliro akapigwe Spana , anadhani nchi ni yake , anajidanganya sana
 
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni

View attachment 2974660
Malisa naamini ataacha kuandika makala za kutukana viongozi ,hivi hata wazazi wake anawatukana hivyo?
 
Wanazingua 😃 hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati. Makosa kama hayo tufanye akina sisi laymen.
Wanatafsiri maneno ya Kiingereza word-to-word ndio tatizo lilipo au kama Kiswahili.
Kati siyo Katikati
 
Back
Top Bottom