johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kati ndio Kikuu bwashee😄😄Wakili mzima anaandika kituo cha kati??? Sijui lini watu watajua hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati bali ni Kituo Kikuu cha Polisi kwa mkoa husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ndio Kikuu bwashee😄😄Wakili mzima anaandika kituo cha kati??? Sijui lini watu watajua hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati bali ni Kituo Kikuu cha Polisi kwa mkoa husika.
Hiyo kona hatakiwi kuisogelea jamani twafaa tena kibudu😭😭😭😭Nq tukimuacha akunje kona kidogo tu, anaingia wizara ya ngawira.
Wasamehe tu buree mangi.Kati ndio Kikuu bwashee😄😄
Kweny ile kesi itaisha kama ile ya kina Mwabukusi na Dr Slaa.Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
View attachment 2974660
Nitakukumbushahata iwe namna gani kuwajibika lazima wawajibike ipasavyo kadiri walivyo husika kwenye walichokiibua 🐒
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
View attachment 2974660
Huu ndo ukweli. Hata wewe ungekua ni polisi huna uwezo wa kukataa amri za boss wako.Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa"
Mimi nataka iende Mahakamani ili Muliro akapigwe Spana , anadhani nchi ni yake , anajidanganya sanaKweny ile kesi itaisha kama ile ya kina Mwabukusi na Dr Slaa.
Kadiri inavyotrend ndivyo makosa ya polisi yanazidi kuwa wazi.
Ni vile tu Polisi wako juu ya sheria.
Insha Allah itaisha.
Muliro kasoma na Tundu Lisu Kitivo cha Sheria pale Mlimani 🐼Mimi nataka iende Mahakamani ili Muliro akapigwe Spana , anadhani nchi ni yake , anajidanganya sana
Wanazingua 😃 hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati. Makosa kama hayo tufanye akina sisi laymen.Kati ndio Kikuu bwashee😄😄
Sasa aliyemmilikisha nchi ni nani ?Muliro kasoma na Tundu Lisu Kitivo cha Sheria pale Mlimani 🐼
Ujinga wangu ni upi hapo? Fuatilia mapicha anayopost huko X halafu urudi hapa uniambie polisi wanahusika vipi?Kumbe na wewe ni mjinga aisee! Sikujua.
Huwa siburuzwi, muulize Marehemu RPC Faith Amour, atakwambia kuhusu MimiHuu ndo ukweli. Hata wewe ungekua ni polisi huna uwezo wa kukataa amri za boss wako.
POLICE NI TAWI LA CCMSasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
View attachment 2974660
si muhimu ila inafaa 🐒Nitakukumbusha
Malisa naamini ataacha kuandika makala za kutukana viongozi ,hivi hata wazazi wake anawatukana hivyo?Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
View attachment 2974660
Yaani huyu malisa alikuwa anaona kama watanzania wote hatunazo aiseeAtaacha kiherere yeye mpaka kuku zimepotea lawama anaiangushia serikali huu ni uhuru uliopitiliza.
Kati siyo KatikatiWanazingua 😃 hakuna kitu kinaitwa kituo cha kati. Makosa kama hayo tufanye akina sisi laymen.
Wanatafsiri maneno ya Kiingereza word-to-word ndio tatizo lilipo au kama Kiswahili.
Usiwe mbishi bwashee hakuna kituo cha kati. Ni kituo kikuu cha Polisi.Kati siyo Katikati