Pia polisi wengi ni failures waliingia huko baada ya option zote za kusurvive kugoma.Tuna Polisi WA ajabu mnoooo, ila niliwahi kuongea na Jamaa mmoja pale Central akasema "Kaka sio kwamba tunafanya kwa kupenda kwetu, watawala hawa"
Hivyo ni rahisi pia kuwaongoza maana wanajua bila kutii amri hawana kazi na hawawezi kusurvive nje ya hapo.