Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nipo hapa kilabu cha Mahaba Niue mitaa ya Zizi la ng'ombe natenda maajabu huku nimekumbatia bakuli la msapulo.😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya watu hii mtarudi kwenu southPia Acheni Kujinyonganyoga Kisa Mnafata Nyayo Za Chief Wenu Mkwawa.
Mmefika Mahali Hata Mkipishana Kauli Na Jirani Zenu Mnakimbilia Kujinyonga.
Kuna maisha iringa mpaka unaona dar wanateseka sanaaNipo hapa kilabu cha Mahaba Niue mitaa ya Zizi la ng'ombe natenda maajabu huku nimekumbatia bakuli la msapulo.😎
Yote South Africa Ndio Maana Wote Tupo SADCNchi ya watu hii mtarudi kwenu south
Nikitoka hapa,baada ya watumishi wa umma kuweka vema taarifa zangu za anwani ya makazi,natarajia kutembelea kilabu cha Wipinye na Ipogolo kwa Mwagongo kuwasabahi wanyalukolo!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna maisha iringa mpaka unaona dar wanateseka sanaa
Wangoni mnautani hadi mnaboaaaYote South Africa Ndio Maana Wote Tupo SADC
Kula tu kama haiui mtu.hapo kwenye mishkaki hapoo hebu nyoosha maelezo vzur
Hatari hiiHahahahahahahha swela be
Wuse kono bela!Aloo pe ulye ichakulya ichoooo ulwiha ndauli?
Alo ulikwiya myaweWuse kono bela!
Ku mgololoAlo ulikwiya myawe
Nene ndili palugoda ipa kumachai. Pa wa ine ndisulunuka uko . Twiwona kama uli tayali. Ndudze?Ku mgololo