Ally ayubu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2024
- 215
- 111
Ongereni sana
Natamani nimjue Paw hapo.
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.
Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani Africa, jina letu linabadilika kutoka JamiiForms hadi JamiiAfrica.
Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa.
Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.
Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.
Hongereni sana Hon. Mexence mmliki wa JF to JA na team mzima na Mimi nikiwemo ,tumetoka mbali na tutafika mbali.
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.
Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani Africa, jina letu linabadilika kutoka JamiiForms hadi JamiiAfrica.
Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa.
Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.
Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.
Nimemwona Mr Invisible hapo😂😂😂

Unataka utoke vipi?😀😀😀Stories of change mwaka huu haipo?
Tuzo ya machapisho bora ya siasa.Unataka utoke vipi?😀😀😀
Jamii Afrika inafanya kaziNgoja waje kukupa mwongozo