TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,249
Reaction score
5,747
Hongereni Sana @jamiiforums   Today marks the beginning of something powerful.#JamiiAfrica is ...jpg

Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.

Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani Africa, jina letu linabadilika kutoka JamiiForums hadi JamiiAfrica.

IMG_20250425_091533_646.jpg

Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa.

Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.

IMG_20250425_091551_991.jpg

Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.

Hongereni Sana @jamiiforums   Today marks the beginning of something powerful.#JamiiAfrica is ...jpg

IMG_20250425_091330_147.jpg

IMG_20250425_091348_706.jpg

IMG_20250425_091842_704.jpg
 
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.

Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani jina letu linabadilika kutoka Jamiiforms hadi JamiiAfrica.

Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya
kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa

Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.

Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.

Je, Mabadiliko haya yanalenga kuleta mambo gani hasa yaliyo Mapya?
 
Thread 'Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android' Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android
 
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.

Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani jina letu linabadilika kutoka Jamiiforms hadi JamiiAfrica.

Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya
kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa

Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.

Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.

Anzisheni machawa forum, kila chawa mnatupia thread yake huko ili tusichoshane humu.
 
Back
Top Bottom