min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mno bro ngoja tusubirie warembo wa huko mkali .Mapenzi yamejumuushwa humo kwenye Tamaduni mkuu,Huenda huko nchi zingine wanaume ndio tunahongwa na akina Dada!
Mno bro ngoja tusubirie warembo wa huko mkali .Mapenzi yamejumuushwa humo kwenye Tamaduni mkuu,Huenda huko nchi zingine wanaume ndio tunahongwa na akina Dada!
- cc: JamiiForumsWakati umefika sasa Kwa wale wanaohusika na kufanya verification za account wawe active.
Habari, Jina la taasisi ndiyo limebadilika lakini Products zetu ikiwemo Jukwaa hili (JamiiForums.com), JamiiCheck, Fichua Uovu na Stories of Change zitaendelea kubaki na majina yaleyale.Jambo jema ingawa uamuzi umekuja kwa kuchelewa. Ningeshauri iitwe Jamii Africa Forums au Jamiiforums Africa. Ingependeza sana.
Kiswahili kinakua kwa kiwango kikubwa sana barani na duniani kwa ujumla.JF itashindwa kupenya soko kubwa la Africa kwa sababu Watanzania wengi hawajui Kingereza au Kifaransa.
Wiki ilopita nliona Melo kapost kwenye Insta story yake anahitajika mtu wa graphics and designTunaomba challenge ya kutengeneza logo Maxence Melo JamiiForums ili walau nasi tuwe sehemu ya movement ya mabadiliko haya.
Mimi pia naona jamiiforums ni nzuri. Kwani haiwezekani kukua bila kubadili jina?Jamiiforums ilikuwa inatisha,hata mtu akisikia amezungumziwa JF alikuwa anaogopa kwa jinsi ina sound.Sasa sijui hii mpya kama itakuwa kama JF kwakweli. Sidhani
Umemis slogan zenu za uchawi wa kikingaIgweeeeeeeee JamiiForums 🫡
Soma pia: JamiiForums wabadilisha jina, Sasa kuitwa JamiiAfrica
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.
Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya kufikia maeneo mengi zaidi barani Africa, jina letu linabadilika kutoka JamiiForms hadi JamiiAfrica.
Mabadiliko haya yana lengo la kuakisi dhamira yetu ya kujenga jumuiya jumuishi kidigitali huku tukieneza na kuendeleza Upatikanaji wa Taarifa Bora na za Kuaminika katika maeneo mengi Barani Africa.
Uzinduzi huo umefanyika Aprili 24, 2025 ambapo umeenda sambamba na Mpango Mkakati wa Taasisi wa Mwaka 2025-2030 unaoelekeza dira mpya ya taasisi katika kukuza ushirikiano, uwazi na maendeleo endelevu ndani na nje ya Tanzania.
Mabadiliko hayo ya JamiiAfrica yanalenga kupanua wigo wa kusimamia kile ambacho kimekuwa kikisimamiwa na Taasisi ikiwemo kukuza Demokrasia shirikishi ya Kidijitali, ushiriki mpana wa raia katika ajenda za maendeleo pamoja na kushirikiana na Wadau mbalimbali.
nikuhakikishie tu ndugu mropokaji lofa kwamba, utaondolewa kwenye platform hii kwa wakati muafaka endapo tu itakapothibitika wazi na pasina shaka kwamba aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya umekiuka miiko ya ustaarabu, uhuru, haki, sheria na taratibu za platform hii, ndipo sasa rasmi utaondolewa bila mbambamba yoyote,Chonde chonde! Tunaomba baadhi ya watu humu jukwaani muwaondoe kwanza kwenye mfumo kabla ya kuhamia huko Jamii Afrika; ili tu isije iikaonekana Tanzania ni Taifa la vilaza.
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, na CHAWA wote wa Mama samia.
hey,Kwa ajili ya huyo mtu usahemewe
Yupo na mwenzie anaitwa chinembe jamaa ni mjinga ni baraa
Huyu chinembe namtafuta sana. Siku akiingia tu kwenye 18 zangu, nampiga mimba halafu na mtoto atalea mwenyewe.Kwa ajili ya huyo mtu usahemewe
Yupo na mwenzie anaitwa chinembe jamaa ni mjinga ni baraa
unaropoka kwa niaba ya malofa wenzio sio gentleman?🐒Huyu chinembe namtafuta sana. Siku akiingia tu kwenye 18 zangu, nampiga mimba halafu na mtoto atalea mwenyewe.
Wewe mpk nikuchukue jini nikuweke dukani uniitie wateja ndo utaniheshimu..!!Umemis slogan zenu za uchawi wa kikinga