TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

Ni kweli ila is just a name. Content ni ileile hakuna jipya na hivi wameshashikiliwa na maccm usitegemee jipya
 
Pole classmate, kwanini wamekuficha mpaka umeenda kuyajulia nje😳
 
Vyovyote iwavyo, kama wamepokea misaada kutoka kwa huyo mzungu, hiyo ni influence tayari kwa chombo husika cha habari
 
Sijui Kama huku hakuna maelekezo maana baadhi walisha acha kutumia wakiogopa kukamatwa
Msikibali kabisa kutumiwa ili kutoa Siri za watu humu ili wakamatwe na serikali ili ule uhuru wa kifichua uovu uendelee
 
Back
Top Bottom