TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

Hongereni sana Jamii forums kwa Maendeleo Makubwa hiyo ni moja ya namna ya kuiunganisha Africa Mungu ibariki Jamii forums Mungu ibariki Africa.
 
Natamani nimjue Paw hapo.
Kamati ya roho mbaya.

Lamomy umemuona Paw mbonyezaji mkuu wa kitufe cha Ban Jf?
 
Hongereni sana Hon. Mexence mmliki wa JF to JA na team mzima na Mimi nikiwemo ,tumetoka mbali na tutafika mbali.
USHAURI:Nafasi ya kiswahili isichukuliwe sana na lugha za kigeni.Ikawe platform ya kukuza hii lugha yetu kimataifa ...Aluta Kontinua🀝
 
Nimemwona Mr Invisible hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daima nitaendelea kulitumia Neno Jf kwenye maandishi yangu lina sound poa kuliko Ja.

Ja nini sasa kijae?
ila Mabadiliko ni lazima kwenye baadhi ya vitu.
Ongereni.
 
wadau naomba kuuliza ni lini hii app ya jamii forum itabadilishwa jina na kuwa jamii africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…