Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu mwenezi wako ameshakiri mkataba haupo sawa,Hatuwezi kuzuiwa na wajinga wa CHADEMA kufanya mambo makubwa kwa maslahi ya watu wengi
Kumbuka kiapo chake!!!Ndiye mwenye dhamana
Nimekuwekea link usome, uelewe, na utaona hata kama DSM imwkuwa ya 312 bado Mombasa iko na volume kubwa na kwa marekebisho yanaenda kufanyika hatutawafikia.Hivi hiyo link uliyotoa kwenye Uzi ndio yakusema Rais awape DP World Bandari?
Maelezo yanajieleza vizuri kuwa Dar es Salaam Port imeshika nafsi ya 312 wakati Mombasa Port 326 maana yake bado tumewaacha wakenya kiufanisi na hakuna mahali wametaja DP World kama ulivyoitaja kwenye Uzi wako.
Usipotoshe ukweli unless hujaelewa ulichowasilisha.
Wakati huo bandari itakuwa imeshaenda,si bora wanavyoropoka sasa hivi ili tuone pa kurekebisha? Mnatuchanganya sana sisi wananchi,hao unaowaita chadema waliupinga mkataba kutokana na kuona kuwa kuna vifungu kadhaa haviko sawa,na wakaviainisha,sisi wananchi tukakaa mkao wa kula tusikie mkiwajibu kuhusu utata wa vifungu hivyo,badala ya kusikia mkiwajibu kwa hoja tunawaona mnarusha tu vijembe,kejeli na vitisho,vitu ambavyo hatukuvitegemea,tulidhani majibu ya hoja zao yasingejaa hata karatasi moja ya A4,badala yake tunaona mkifanya mikutano nchi nzima bila kujibu hoja zao,bado tunasubiri,ila mkiamua kufanya lolote kwa kuwa tu nyie ndiyo wenye dola basi hewallah,hatuna cha kuwafanya.Serikali ya CCM inafanya inachopaswa kufanya- kama kuna shida waisubiri kwenye uchaguzi 2025
Ya kuzisimamia?au kuzigawa?Ndiye mwenye dhamana
CCM na serikali yake walishasema hakuna mktaba kuna maelewano; kaja yule Mh. Mwambukusi kwenye baa anasema kuna mkataba; mahakanani anasema hakuna mkataba mpaka mh. jaji akalazimika kusema kuwa anacgeza vizuri mahakamani na kwenye siasa.Wakati huo bandari itakuwa imeshaenda,si bora wanavyoropoka sasa hivi ili tuone pa kurekebisha? Mnatuchanganya sana sisi wananchi,hao unaowaita chadema waliupinga mkataba kutokana na kuona kuwa kuna vifungu kadhaa haviko sawa,na wakaviainisha,sisi wananchi tukakaa mkao wa kula tusikie mkiwajibu kuhusu utata wa vifungu hivyo,badala ya kusikia mkiwajibu kwa hoja tunawaona mnarusha tu vijembe,kejeli na vitisho,vitu ambavyo hatukuvitegemea,tulidhani majibu ya hoja zao yasingejaa hata karatasi moja ya A4,badala yake tunaona mkifanya mikutano nchi nzima bila kujibu hoja zao,bado tunasubiri,ila mkiamua kufanya lolote kwa kuwa tu nyie ndiyo wenye dola basi hewallah,hatuna cha kuwafanya.
DPW nafikiri walishatimiliwa Djibouti .... Kesi iko mahakani. Kwa sasa kuna mchina.Djbouti 26- DP WORLD
Berbera 144- DP WORLD,
DSM 312- DP WORLD (analetwa),
Mombasa 326-wabia wanatafutwa
===
President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include 24-hour operations, reducing weighbridges on the Malaba-Mombasa road to two for transit cargo and privatising supply of scanners.
Latest data show Dar winning the trade route contest with Mombasa. The "2022 Container Port Performance Index", a global World Bank calibration that ranks ports based on their efficiency, placed Dar at position 312 with Mombasa 326th.
It gets worse for the region. The relatively smaller Horn of Africa ports of Djibouti and Berbera emerged an impressive 26th and 144th, respectively, in a global list of 348 ports assessed by the Bretton Woods institution. Efficiency, in this context, is defined as the "elapsed time between when a ship reaches a port to its departure from the berth, having completed the process of cargo exchange"
But Mombasa has several things going for it, especially on the efficiency front. For instance, on the numbers and volumes game, it brings more heft to the berth in terms of potential and current status.
The biggest, busiest East African port, Mombasa handles 35 million tonnes of cargo annually and its Tanzanian counterpart 14 million tonnes. While it serves the 120 million Northern Corridor population comprising Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, eastern Democratic Republic of the Congo (DRC), South Sudan, Ethiopia, Somalia and northern Tanzania, Dar has as its catchment the relatively smaller Central Corridor of 50 million people in Tanzania, Burundi, Rwanda, Malawi, Zambia and the DRC.
On port infrastructure, Mombasa users are served by 19 berths, including four container berths, two oil terminals or jetties and 12 general cargo berths. Dar has 16-including four container berths, two oil terminals or jetties and 10 general cargo berths.
Perhaps the only differentiators Mombasa can capitalise on to better its proposition and beat Dar squarely lie in two realms:
Infrastructure at the port and its hinterland and efficiency of human capital deployed at the port and on the corridor it serves.
A lot is happening on the infrastructure front at Mombasa, including construction of the second container terminal. The special economic zone (SEZ) at Dongo Kundu will provide a catchment of manufacturers. Proposed investments in hinterland infrastructure by Kenya and Uganda will greatly improve corridor, hence port, efficiency. These include the joint extension of the standard gauge railway (SCR) from Naivasha to Malaba through Kisumu and to Isiolo in an over Sh2.1 trillion plan.
Efficiency is also a function of the skills and attitudes of the 20,000 direct and indirect Mombasa port workers. Planned privatisation of key port functions is a strategy to infuse private sector ethos into the management of the port and its ecosystem.
![]()
Ruto order gives Mombasa port an edge over rival Dar
Latest data show Dar winning the trade route contest with Mombasa.nation.africa
Uko sahihi na maneno yako yanaungwa mkono na link niliyoweka, soma tu utaonaDPW nafikiri walishatimiliwa Djibouti .... Kesi iko mahakani. Kwa sasa kuna mchina.
Anyway, kuwapa DP world litakuwa ni kosa la kiufundi. Hii ni kwa sababu DPW wanachotafuta ni control ya Bandari zote za ukanda wa Africa ili wao ndiyo wawe Kidume peke yao na kutufanya sisi tutegemee Bandari yao maisha yetu wote. Hiyo ndiyo maana ukomo wa mkataba haujawekwa. Kwa vile DPW wapo Djibouti na pia Beira haitakuwa rahisi waipendelee Bandari yetu na kuziacha hizo nyingine.
Naamini kuna makampuni ambayo yako more efficient kuliko DPW hivyo kama tungetangaza tender yangeweza kumpiku DPW ....!!
In my opinion, hatuna haja ya kutumia kampuni za nje. Tayari somo tulishalipata kutoka kwa TICTS ..... tunajifariji kutegemea kuwa kutakuwamatokeo tofauti sana DPW wakija. Kama ni wizi bado TRA watakuwepo kupokea ushuru. Unless, DPW wapokee mapato. Tatizo letu kubwa la kukosa efficiency ninasababishwa na ukosefu wa wataalamu hapo bandarini. Kama serikali itaaamua kuwekeza kwenye expertise hilo tatizo litaondoka. DPW wenyewe hao Waarabu wa UAE hawafanyi hizo kazi .... wameajili watu. Kwa nini na sisi tusiajili wataalamu na kuwalipa watufanyie kazi yetu....!!?
Mkuu ni kweli waliwatoa on resource nationalization madness which always has a price tag. Kufanikiwa kwao largely kunatokana na development alizofanya DP WorldDPW nafikiri walishatimiliwa Djibouti .... Kesi iko mahakani. Kwa sasa kuna mchina.
Anyway, kuwapa DP world litakuwa ni kosa la kiufundi. Hii ni kwa sababu DPW wanachotafuta ni control ya Bandari zote za ukanda wa Africa ili wao ndiyo wawe Kidume peke yao na kutufanya sisi tutegemee Bandari yao maisha yetu wote. Hiyo ndiyo maana ukomo wa mkataba haujawekwa. Kwa vile DPW wapo Djibouti na pia Beira haitakuwa rahisi waipendelee Bandari yetu na kuziacha hizo nyingine.
Naamini kuna makampuni ambayo yako more efficient kuliko DPW hivyo kama tungetangaza tender yangeweza kumpiku DPW ....!!
In my opinion, hatuna haja ya kutumia kampuni za nje. Tayari somo tulishalipata kutoka kwa TICTS ..... tunajifariji kutegemea kuwa kutakuwamatokeo tofauti sana DPW wakija. Kama ni wizi bado TRA watakuwepo kupokea ushuru. Unless, DPW wapokee mapato. Tatizo letu kubwa la kukosa efficiency ninasababishwa na ukosefu wa wataalamu hapo bandarini. Kama serikali itaaamua kuwekeza kwenye expertise hilo tatizo litaondoka. DPW wenyewe hao Waarabu wa UAE hawafanyi hizo kazi .... wameajili watu. Kwa nini na sisi tusiajili wataalamu na kuwalipa watufanyie kazi yetu....!!?
Mkuu famila yako inawapenda na kauangalia ujinga wao- mtu anayeangalia wajinga na kufurahi definitely atakuwa mjinga zaidi- poleUtahira wa kina juma lokole, Zembwela, kitenge na majizi ya CCM pelekeni majengo ya CCM mkawekeze milele sio bandari zetu.