Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

Mkuu famila yako inawapenda na kauangalia ujinga wao- mtu anayeangalia wajinga na kufurahi definitely atakuwa mjinga zaidi- pole
Peleka ushoqer CCM huko..
 
Peleka ushoqer CCM huko..
unaiona Exy NI KINGA YA KUTOSHA kwa ujinga unaofanya wa kutukana na kutumia lugha ya kudhalilisha siyo?
 
CCM na serikali yake walishasema hakuna mktaba kuna maelewano; kaja yule Mh. Mwambukusi kwenye baa anasema kuna mkataba; mahakanani anasema hakuna mkataba mpaka mh. jaji akalazimika kusema kuwa anacgeza vizuri mahakamani na kwenye siasa.
Mkuu hapa hatuchezi siasa wala kesi mahakamni - hapa tujadili uhalisia- hatuli siasa mkuu
Mkuu,jumapili iliyopita niliacha kila kitu nikakaa mbele ya tv yangu nisikie viongozi wangu watatoa jibu gani juu ya hili jambo la bandari,nilisikia mengi,ila wote niliwasikia wakitamka neno "mkataba" sikusikia mahali wakisema makubaliano,hata diwani wangu wa zamani na mwanasheria nguli Albert msando aliuita "mkataba" mwanzo mwisho,hakuita makubaliano,mimi siasa siijui,wala siipendi
 
Achana na hao, hili ni jukwa la GREAT THINKER, think
 
Back
Top Bottom