Mkuu,jumapili iliyopita niliacha kila kitu nikakaa mbele ya tv yangu nisikie viongozi wangu watatoa jibu gani juu ya hili jambo la bandari,nilisikia mengi,ila wote niliwasikia wakitamka neno "mkataba" sikusikia mahali wakisema makubaliano,hata diwani wangu wa zamani na mwanasheria nguli Albert msando aliuita "mkataba" mwanzo mwisho,hakuita makubaliano,mimi siasa siijui,wala siipendi