Wamezoea kujitoa mhanga. Waache wajitoe mhanga. Kwa mbali namwona mwingine antazama passport na kuiweka sawa aende nchi kwake Ubelgiji.Labda uwaulize wale wanaowatuma vijana wasio na hatia kujipeleka mstari wa mbele na kupoteza maisha huko wao wakibaki majumbani kwao wanakunywa kahawa.
Si mliwapiga mawe wakakimbia. Mlidhani mmeweza?Uwo itii wa sheria usiishie kwa raia tuu ila hata kwa wewe mshika bunduki uzijue sheria zako
UNAUWAJE RAIA !!!
AiseeeMimi Naipata...
Download VPN
Leta uthibitisho mzee
Nashagaa hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi usiopingika kama kuna masanduku yenye kura.
Mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wafuasi wao. Huko Pemba hai waliojeruhiwa ukipata mmoja anajua kusoma na kuandika una bahati. Hai wanafanya kila wanachoambiwa na Maalim hata Kama hakina ukweli wowote. Jiulize Maalim alikuwa wapi akaona makaratasi yamewekewa kura Hadi akaenda kuwaambia wafuasi wayachukue kwa nguvu toka kwa polisi kwa kuwapiga na mawe?
Acheni kupotosha watoto.
CCM bhana,haya mabavu ndio mwisho wa mbinu zenu na soon itakua overcomesKama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
Sheria ya kuiba kura?Tii sheria bila shuruti.
Ni sawa, tunachokikataa ni unafiki wao wa kujifanya wanaharakati kwenye mambo yanayotokea kwenye nchi nyingine, wakati nchini mwao mambo hayo hayo yanatokea lakini hawakemei.Wasanii tutakuwa tunawaonea tu.
Msiwatafutie wenzenu matatizo.
Wewe unatumia fake name HAKUNA anayekujua lakini wenzio wanajulikana mpaka wanapokaa mkiaanza kuwaingiza kwenye uharakati watapotezwa.
Wewe mbona uko nyumbani kwako na ushahidi HAUNA, unalazimishwa watu waamini uwongo?Unataka ushahidi uletewe nyumbani kwako?.
Watu huko Zanzibar Wana macho au unadhani wanaishi vipofu?
Sheria zipi? Zile zile ambazo CCM huzivunja kila mda? au Sheria zipi?Tii sheria bila shuruti.
CCM Zanzibar wajiandae kwenda ICC The Hague mara baada ya uchaguzi mkuuKwaivo kuzuia Box la Kura zilizotiwa Tiki hukumu yake ni Kifo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], Aisee we mtu umenichekesha sana#Zanzibarlivesmatter