ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Dr Shein alikua na amani kwa miaka 10, itakua Mwinyi?Hivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Shein alikua na amani kwa miaka 10, itakua Mwinyi?Hivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
CCM Zanzibar ICC inawasubiria kwa hamu kubwaKwaivo kuzuia Box la Kura zilizotiwa Tiki hukumu yake ni Kifo?
Mwaka 2020 upo kivingine wazanzibar wameamka hawaishi kizamani hawataki ujinga wa huko nyumaDr Shein alikua na amani kwa miaka 10, itakua Mwinyi?
CCM ndiyo chanzo cha fujo kwa kuchukua maelifu ya JWTZ kwenda kuwajaza Zanzibar kuwatishia watuYeye ndiye chanzo cha machafuko kwa kuhamasisha fujo. Atatulizwa tu
Walijuaje kama zimewekewa tiki kama siyo kujitoa ufahamu.Kwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Ndio muende mkawaonyeshe ndugu wa marehemu, hizo kura zilizojazwa kwenye masanduku ziko wapi?
Tanzania hamna wasanii kuna waganga njaaWako wapi Wasanii wanafiki wa Tanzania
Mwinyi anakuwa Rais kwa njia haramu za kishetaniNdiyo agenda yao kuu ccm. Kwao uhai hauna maana. Muhimu kwao ni madaraka.
Sawa nduli idd minyoo amstedamu atakuteteaHuyo Asikari yeye ndiyo ana haki za kwenda kuwaonea watu? Ukionea Raia wasio na bunduki wanajihami kwa mawe tu
Ndo waweke masanduku ya kura feki!?
Zile Sinema zimetengenezwa na CCM ili wapate kuharalisha ushetani wao usifikiri watanzania ni wajinga kama weweYeye Maalim Seif anawahamasisha wafuasi wake wawapige police mawe, wakati huo yeye katulia nyumbani na familia yake akitii sheria bila shurti🤔
Wazanzibar na watanzania wote amkeni, msikubali kutumika!!!
Bado unavuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba?Sawa nduli idd minyoo amstedamu atakutetea
Una hakika yalikuwa fake ?
Sheria ya uchaguzi Zenji tumejitungia wenyewe, kazi ya polisi ni kulinda tulichokubaliana kwenye vikao rasmi, kwa nini wazuiwe kutekeleza kazi yao.
Wakati wa kampeni viongozi wa ACT walisema Maalim na mapapa wenzake wataongoza harakati, vijana wetu wameamua kupambana kwa mawe na polisi wenye silaha ila Maalim yuko chumbani akiwasiliana na mabeberu.
Mwinyi anabaka sanduku la kura anataka kuwa Rais kwa mbinu za haramu za kishamba na kishetaniSisi Sote Watanzania...Nchi hii yetu sote Zingatieni sisi ni wamoja kila unalomfanyia mtu ujue ana ndg na jamaa zake nao ni Watu kama wewe...
Tatizo sio kusafirisha usiku.
Tatizo hayo masanduku yana kura tayari ndani yake jaribu kuelewa.