Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Yeye ndiye chanzo cha machafuko kwa kuhamasisha fujo. Atatulizwa tu
 
Sisi Sote Watanzania...Nchi hii yetu sote Zingatieni sisi ni wamoja kila unalomfanyia mtu ujue ana ndg na jamaa zake nao ni Watu kama wewe...
 
Kwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Walijuaje kama zimewekewa tiki kama siyo kujitoa ufahamu.
 
Waoneshwe Mara ngapi?.
Unadhani wazanzibar NI vipofu?..
Huyo mwinyi hapo bila polisi na JWTZ HAPITI.
Ndio muende mkawaonyeshe ndugu wa marehemu, hizo kura zilizojazwa kwenye masanduku ziko wapi?
 
Yeye Maalim Seif anawahamasisha wafuasi wake wawapige Polisi mawe, wakati huo yeye katulia nyumbani na familia yake akitii sheria bila shurti[emoji848]

Wazanzibar na watanzania wote amkeni, msikubali kutumika!!!
 
Yeye Maalim Seif anawahamasisha wafuasi wake wawapige police mawe, wakati huo yeye katulia nyumbani na familia yake akitii sheria bila shurti🤔

Wazanzibar na watanzania wote amkeni, msikubali kutumika!!!
Zile Sinema zimetengenezwa na CCM ili wapate kuharalisha ushetani wao usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe
 
Vijana wafundishwe namna ya kujihami kwamfano hata Molotov cocktail silaha ya mnyonge
 
Watatulizwa tu na hao mabeberu hawatafanya lolote
Sheria ya uchaguzi Zenji tumejitungia wenyewe, kazi ya polisi ni kulinda tulichokubaliana kwenye vikao rasmi, kwa nini wazuiwe kutekeleza kazi yao.

Wakati wa kampeni viongozi wa ACT walisema Maalim na mapapa wenzake wataongoza harakati, vijana wetu wameamua kupambana kwa mawe na polisi wenye silaha ila Maalim yuko chumbani akiwasiliana na mabeberu.
 
Sisi Sote Watanzania...Nchi hii yetu sote Zingatieni sisi ni wamoja kila unalomfanyia mtu ujue ana ndg na jamaa zake nao ni Watu kama wewe...
Mwinyi anabaka sanduku la kura anataka kuwa Rais kwa mbinu za haramu za kishamba na kishetani
 
Back
Top Bottom