Nadhani huyu ndiye anayekupenda kuliko wote hapa jamiiforum ,ila anataka aonekane tu kuwa Yuko kinyume na watu wengine,usijali mkuu afya njemaTangu ulipo fungua uzi kwamba haunipendi nilitambua mkuu, wala usitumie nguvu kubwa..π€£
Lakini kwangu mimi nina amani sana kwaku najua ninatenda mengi yalio mema "lakini sijakamilika"
Kuna dada mmoja aliwahi kunichukia sana hapa, sasa tulipo kuja kutana kwenye party flani 2016 akaja niambia......
Eti alikua anaichukia avatar yangu....π
Mungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamaniNasi tunasema asante kwa maombi yenu..π
Unaendeleaje mwamba? PoleTangu ulipo fungua uzi kwamba haunipendi nilitambua mkuu, wala usitumie nguvu kubwa..π€£
Lakini kwangu mimi nina amani sana kwaku najua ninatenda mengi yalio mema "lakini sijakamilika"
Tupo pamoja jiraniAsante kwa maombi jirani...π
Zitafika hakuna shaka.Ukienda nifikishie salama zangu..
Inshallah.Dah!
Pole sana.
Katika mazingira hayo ya ajali na kuumia huko na mwamba bado yuko hai, basi Mungu anampenda sana Ushimen na anataka tuendelee kuwa naye hapa JF.
Kwa uzoefu wa wataalamu wanasema, kwa hiyo hali aliyonayo sasa na kwa hospitali ya Muhimbili suala la kupona ni uhakika kabisa, asiwe na wasiwasi wala haraka, atulie hizo maji maji (usaha na damu) zitoke zote taratibu na mifupa itakaa sawa.
Huo ndio ukweli .Dogo punguza usenge wako basi π€£π€£π€£
Au avatar yake inakukera ?πππHuo ndio ukweli .
Jamaa huwa anajikuta mjuaji sana, kwa kifupi ana mambo ya kis**ge sana.
Hahaaaa....πPole mkuu ila swali kidogo, andiko hili ni kutokea Sewahaji?
Binafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwaMungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani
Binafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwaMungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani