Nadhani huyu ndiye anayekupenda kuliko wote hapa jamiiforum ,ila anataka aonekane tu kuwa Yuko kinyume na watu wengine,usijali mkuu afya njemaTangu ulipo fungua uzi kwamba haunipendi nilitambua mkuu, wala usitumie nguvu kubwa..🤣
Lakini kwangu mimi nina amani sana kwaku najua ninatenda mengi yalio mema "lakini sijakamilika"