Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Tangu ulipo fungua uzi kwamba haunipendi nilitambua mkuu, wala usitumie nguvu kubwa..🤣
Lakini kwangu mimi nina amani sana kwaku najua ninatenda mengi yalio mema "lakini sijakamilika"
Nadhani huyu ndiye anayekupenda kuliko wote hapa jamiiforum ,ila anataka aonekane tu kuwa Yuko kinyume na watu wengine,usijali mkuu afya njema
 
Dah!
Pole sana.
Katika mazingira hayo ya ajali na kuumia huko na mwamba bado yuko hai, basi Mungu anampenda sana Ushimen na anataka tuendelee kuwa naye hapa JF.

Kwa uzoefu wa wataalamu wanasema, kwa hiyo hali aliyonayo sasa na kwa hospitali ya Muhimbili suala la kupona ni uhakika kabisa, asiwe na wasiwasi wala haraka, atulie hizo maji maji (usaha na damu) zitoke zote taratibu na mifupa itakaa sawa.
Inshallah.
Amin.
 
Back
Top Bottom