Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana mkuu daaa ndio naona Taarifa hapa nimestuka maana wiki yote sikua hewani hope naona comment yako Classmate afadhari
Aisee!
👍
Ahaaa kwani ushimen kasoma na watu wangapi jamani humu?? Mbona kila mtu classmate au kuna kitu sielewi huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…