Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Binafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwa.Mungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwa.Mungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani
Mungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani
Hahaaaa....😂
Sewahaji nimepata ruhksa mkuu..
Pole sana mkuu daaa ndio naona Taarifa hapa nimestuka maana wiki yote sikua hewani hope naona comment yako Classmate afadhariBinafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwa.
Kwakweli Muhimbili ipo vizuri sana, ukitoa mapungufu ya kibinadam.Mungu awabariki madaktari wetu muhimbili wanajitahidi Sana jamani
Naendelea kuimarika mkuu, zaidi ni maumivu ndio yanatesaUnaendeleaje mwamba? Pole

Sana Sana kwa kweli sema gharama na Hali ya raia haviendani.kwa kweli profesa janabi anastahili pongezi kubwaBinafsi naona Muhimbili imepiga hatua kubwa
Jana nimekuombea kipenzi..nafurahi kukuona Tena jukwaani.Asanteni kwa maombi..🙏
Ahaaa kwani ushimen kasoma na watu wangapi jamani humu?? Mbona kila mtu classmate au kuna kitu sielewi huku?Pole sana mkuu daaa ndio naona Taarifa hapa nimestuka maana wiki yote sikua hewani hope naona comment yako Classmate afadhari
Aisee!
👍

Hata we pia ni classmate wake...hujui🤣?Ahaaa kwani ushimen kasoma na watu wangapi jamani humu?? Mbona kila mtu classmate au kuna kitu sielewi huku?
Duh!!Lolote baya likukute.
Sifurahishwi na maendeleo yako ya kiafya.