Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Mkuu Ushimen si ndie majina yake ya ukweli kwa ufupin ni J M? Aise kama ndie nitajitahidi sana kufika muhimbili aise huyu mwamba ana moyo wa utu sana alinisaidia sana mpaka majina yake halisi nika yajua kutokana na miamala ya pesa alizo kuwa akiniwezesha

Pole sana kaka
 
Muhimbili nako kuna uzembe. Kuna mfanyakazi mwenzetu kapoteza kaka yake kizembe kabisa. Eti wamempeleka Moi afanyiwe upasuaji wa miguu wakaacha kushughulika mambo mambo mengine. Moi kwenyewe amekufa nasubiria daktari
Yaani mtu mbavu na mapafu yameachwa yaoze kisa hawawezi kumtoa Moi kumhamishia vitengo vingine apewe matibabu
Kwenye postmortem ikagundukika mbavu zilivunjika na mapafu yamejaa usaha.
Shida sana hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…