Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mungu amponye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka utaratibu kaka tumshike mkono Kaka yetuAsanteni sana kwa upendo mkuu mliouonesha kwa ndugu yetu Ushimen
Alhamdullilah for everything. 🙏You are a living testimony aisee.
Kwa kweli afya ni mtaji
Aisee Mungu akamilishe uponyaji wakoAlhamdullilah for everything. 🙏
Afya na uzima ni kila kitu. Niko poa sana
Mkono ulipona kabisa, ninaweza kuhisi maumivu pale ninapoumwa na mbu au kubanwa na kitu, ninapiga push ups hata 100 😃😃😃 ninaweza kubeba kila kitu kizito. Hata kichwa kilishapona hakuna tena wenge na macho yanaona vyema sana bila hata msaada wa spectacles. Hata kama nitatumia electronics gadgets haileti shida kabisa. Ingawa wakati mwingine mabadiriko ya hali ya hewa huwa yananiathiri kidogo lakini niko vizuri 🙏
Ajali ni kumuomba Mungu atulinde ila ni hatari sana!View attachment 3139621
Huyu pia daktari kijana alifarik last week alikua kitengo Cha mifupa tmk hospital
Alifarik kwa ajar za barabarani