Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

You are a living testimony aisee.
Kwa kweli afya ni mtaji
Alhamdullilah for everything. 🙏
Afya na uzima ni kila kitu. Niko poa sana
Mkono ulipona kabisa, ninaweza kuhisi maumivu pale ninapoumwa na mbu au kubanwa na kitu, ninapiga push ups hata 100 😃😃😃 ninaweza kubeba kila kitu kizito. Hata kichwa kilishapona hakuna tena wenge na macho yanaona vyema sana bila hata msaada wa spectacles. Hata kama nitatumia electronics gadgets haileti shida kabisa. Ingawa wakati mwingine mabadiriko ya hali ya hewa huwa yananiathiri kidogo lakini niko vizuri 🙏
 
Aisee Mungu akamilishe uponyaji wako
 
Back
Top Bottom