Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

Dahhhh.....😥

Mbona tuliambiwa hajiwezi na anahali mbaya hata kuongea hawezi, aliwezaje kumuelekeza bodaboda??

Lakini najaribu kuwaza kwamba alitoa wapi pesa ya kulipia boda boda??

Hivi katika hali ya kawaida, ni boda gani anaweza kubalu msala wa kumbeba mtu asiye mtambua na mwenye hali mbaya kiasi kile??

Hivi kweli mtu alie ngongeka hadi akachakaa anaweza akakaa kwenye bodaboda??
 
Sinema ndio limeanza
 
Miaka fulani niliwahi kudanganya sasa ilifika mahali nikaulizwa maswali magumu kma haya niliishia kukasirika tu maana sikuwa na majibu
 
hapo sasa ndio kuna vitu vya kujiuliza vingi sana
 
Thus,we've got a very beautiful and magnificent theatre of our own creation comedies!🤣🤣🤣
 
Yani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Yani ni shega tu au wagada!Kutekwa ni kutekwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…