Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Toka niliposikia katekwa huyu sikuamini habari hii. Labda ni kutokana na chama chake, kweli mtu wa zambarau anaweza tekwa? Hii ni kiki tuDahhhh.....😥
Mbona tuliambiwa hajiwezi na anahali mbaya hata kuongea hawezi, aliwezaje kumuelekeza bodaboda??
Lakini najaribu kuwaza kwamba alitoa wapi pesa ya kulipia boda boda??
Hivi katika hali ya kawaida, ni boda gani anaweza kubalu msala wa kumbeba mtu asiye mtambua na mwenye hali mbaya kiasi kile??
Hivi kweli mtu alie ngongeka hadi akachakaa anaweza akakaa kwenye bodaboda??