Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Taarifa hiyo inaonesha kwamba viongozi wa ACT walikuwepo ofisini saa tano usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ishamwona kila.mtanzania ni.Fala. wanakula.kodi.zetu kizembe.sanaKuna mahututi na mautiuti.Ngoja tuone the END ya tamthiliya ya the PROMISE.
That's bitter to munch!CCM ishamwona kila.mtanzania ni.Fala. wanakula.kodi.zetu kizembe.sana
yule ni muigizajiDahhhh.....😥
Mbona tuliambiwa hajiwezi na anahali mbaya hata kuongea hawezi, aliwezaje kumuelekeza bodaboda??
Lakini najaribu kuwaza kwamba alitoa wapi pesa ya kulipia boda boda??
Hivi katika hali ya kawaida, ni boda gani anaweza kubalu msala wa kumbeba mtu asiye mtambua na mwenye hali mbaya kiasi kile??
Hivi kweli mtu alie ngongeka hadi akachakaa anaweza akakaa kwenye bodaboda??
Ulitakaje Sasa jeshi lipo kwa ajili ya usalama wa raia na Mali zake Cha msingi amepatikanaYani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Ulitakaje Sasa jeshi lipo kwa ajili ya usalama wa raia na Mali zake Cha msingi amepatYani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Afadhali,maana Zitto alikuwa analianzisha,maana yule muha hana uoga kabisa angepaza sauti kimataifa ikawa aibu kwa Taifa, acha polisi wawatafute hao wahusika.
And the list doesn't take a halt over there:-Uchunguzi ambao Jeshi la Polisi wanaendelea nao, ambapo hadi sasa hawajakamilisha ripoti zao;
Waliompiga risasi Tundu Lissu....Uchunguzi unaendelea
Waliomteka na kumuua Mzee Ali Kibao.....Uchunguzi unaendelea
Waliowateka akina Soka na wenzake...... Uchunguzi unaendelea
Waliotaka kumteka Kimario Bonge..... uchunguzi unaendelea
Na sasa waliomteka Abdul Nondo..... uchunguzi unaendelea 🙌
Hii Nchi ngumu sana hii saivi 🙆
Umesahau. Na ina raia wapatao milioni siting. Nao wapo tu!Yani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Imeisha hivyo maana hata baada ya video za watekaji kuvuja polisi nahisi walifurahi baada ya kutokea tukio la kariakoo maana watu waliacha fuatilia na wenyewe waksema afadhali watu hawatauliza kuwa tuna video za watekaji lakini tumeshindwa wapata.
Ukiwa polisi unatolewa uso wa haya, kwa kupewa changamoto ya akili!Polisi hamuoni aibu nyie viumbe
Hakika MkuuAnd the list doesn't take a halt over there:-
Saanane and Azory and...and...and....
Kweli kabisa!!!!acheni ujinga mnaona kwamba serikali ama chama ndo kinahusika hivi mtu wa upinzani atekwe na ashindwe kusema katekwa na watu gani jinsi wanavyopenda attention, hii mi nakataa hakuna mtekaji akuteke na usijue sababu hata ile ya mo ni danganya toto tu wa tz tunalaghaiwa hapa kuna watu wanatafuta attention tu nothing more, nondo for what it's just for popularity wa tz tuweni serious wanasiasa na wafanya biashara wanatuchezea acheni upuuzi
Awamu awamu ila acha tu tufanye ni spinning ya kufifisha mada ya uchafuzi wa Kisiasa
Kwa kweli acha na mie nicheke😂Thus,we've got a very beautiful and magnificent theatre of our own creation comedies!🤣🤣🤣