Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

yule ni muigizaji
 
Yani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Ulitakaje Sasa jeshi lipo kwa ajili ya usalama wa raia na Mali zake Cha msingi amepat
 
Uchunguzi ambao Jeshi la Polisi wanaendelea nao, ambapo hadi sasa hawajakamilisha ripoti zao;

Waliompiga risasi Tundu Lissu....Uchunguzi unaendelea

Waliomteka na kumuua Mzee Ali Kibao.....Uchunguzi unaendelea

Waliowateka akina Soka na wenzake...... Uchunguzi unaendelea

Waliotaka kumteka Kimario Bonge..... uchunguzi unaendelea

Na sasa waliomteka Abdul Nondo..... uchunguzi unaendelea 🙌

Hii Nchi ngumu sana hii saivi 🙆
 
And the list doesn't take a halt over there:-
Saanane and Azory and...and...and....
 
acheni ujinga mnaona kwamba serikali ama chama ndo kinahusika hivi mtu wa upinzani atekwe na ashindwe kusema katekwa na watu gani jinsi wanavyopenda attention, hii mi nakataa hakuna mtekaji akuteke na usijue sababu hata ile ya mo ni danganya toto tu wa tz tunalaghaiwa hapa kuna watu wanatafuta attention tu nothing more, nondo for what it's just for popularity wa tz tuweni serious wanasiasa na wafanya biashara wanatuchezea acheni upuuzi
 
Yani simple tu.mtu anatekwa anachukuliwa anarudishwa kapigwa au kaulizwa au hajapatikana kabisaa.na nchi ina rais ,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani cdf,igp .alafu fresh tu.
Yani sijui nisemeje
Umesahau. Na ina raia wapatao milioni siting. Nao wapo tu!
 


Waliomteka Bonge sura zao zimeoneka dhahiri hadi wametambulika kwa majina lakini mpaka sasa hamjatoa taarifa zao ndiyo mnafanya uchunguzi waliomteka nondo ambao sura zao hazijulikani?
 
And the list doesn't take a halt over there:-
Saanane and Azory and...and...and....
Hakika Mkuu

Ukirekodi vizuri matukio haya ya utekaji, ni mengi sana kwasasa

Nafikiri Jeshi letu la Police limezidiwa, ni wakati wa kuomba msaada kutoka majeshi mengine huko Duniani waje watusaidie kuchunguza haya matukio

Mbona misaada ya Fedha tunaomba, sembuse hili la Uhai wetu
 
Kweli kabisa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…