Toka niliposikia katekwa huyu sikuamini habari hii. Labda ni kutokana na chama chake, kweli mtu wa zambarau anaweza tekwa? Hii ni kiki tuDahhhh.....π₯
Mbona tuliambiwa hajiwezi na anahali mbaya hata kuongea hawezi, aliwezaje kumuelekeza bodaboda??
Lakini najaribu kuwaza kwamba alitoa wapi pesa ya kulipia boda boda??
Hivi katika hali ya kawaida, ni boda gani anaweza kubalu msala wa kumbeba mtu asiye mtambua na mwenye hali mbaya kiasi kile??
Hivi kweli mtu alie ngongeka hadi akachakaa anaweza akakaa kwenye bodaboda??
Na jaji mkuu yupo.Umesahau. Na ina raia wapatao milioni siting. Nao wapo tu!
Watu wenye akili fupi kama nyie hamkosekani.Toka niliposikia katekwa huyu sikuamini habari hii. Labda ni kutokana na chama chake, kweli mtu wa zambarau anaweza tekwa? Hii ni kiki tu
Unauliza nauli kwa mtu kama yeye bado hawezi mbeba ?Dahhhh.....π₯
Mbona tuliambiwa hajiwezi na anahali mbaya hata kuongea hawezi, aliwezaje kumuelekeza bodaboda??
Lakini najaribu kuwaza kwamba alitoa wapi pesa ya kulipia boda boda??
Hivi katika hali ya kawaida, ni boda gani anaweza kubalu msala wa kumbeba mtu asiye mtambua na mwenye hali mbaya kiasi kile??
Hivi kweli mtu alie ngongeka hadi akachakaa anaweza akakaa kwenye bodaboda??
Ulitakaje Sasa jeshi lipo kwa ajili ya usalama wa raia na Mali zake Cha msingi amepat
ni aheri tusingrkuwa na polisi wala TISS, tungebakia na JWTZ na kuboresha utendaji kazi wa Sungusungu. Maana ni aheri usiwe na ulinzi kuliko ukawa na mlinzi akageuka kuwa jambazi dhidi yako.
Jambazi anapofanya uchunguzi dhidi ya majambazi wauaji.Uchunguzi ambao Jeshi la Polisi wanaendelea nao, ambapo hadi sasa hawajakamilisha ripoti zao;
Waliompiga risasi Tundu Lissu....Uchunguzi unaendelea
Waliomteka na kumuua Mzee Ali Kibao.....Uchunguzi unaendelea
Waliowateka akina Soka na wenzake...... Uchunguzi unaendelea
Waliotaka kumteka Kimario Bonge..... uchunguzi unaendelea
Na sasa waliomteka Abdul Nondo..... uchunguzi unaendelea π
Hii Nchi ngumu sana hii saivi π
Hii nchi bhana!! Ujinga ujinga tu.
Tena mbwa aliepo Iringa..Kwa Tanzania hii mbwa yupo salama zaidi kuliko binadamu, hali inatisha
Ajabu kwa kweli,wanatuona sisi ni ngo'mbeofisini za ACT wanafanya kazi Usiku?