Tuliwaambia Mapema kuwa Saccos hakuna kitu!Amepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
Kwani lazima wewe ukipende?Uimara wa ccm unaupima kwenye nini ?
Mimi tangu nimezaliwa , nimekula hela nyingi za ccm lakini hata sekunde moja sijawahi kukipenda hicho chama.
Upinzani ambao sijawahi kula hata senti moja nimetokea kuwakubali kwa akili moyo na nguvu zangu zote.
Tafakari.
Huyo amenunuliwa na mabeberu tayari. Yuko kibiashara zaidiUpinzani nchi hii, unanunulika kirahisi sana. Hadi sasa naamini kabisa, mpinzani wa roho na mwili(kwa viongozi wa juu) ni Lissu TU.
Mjinga ni wewe,familia yako na huyo jiwe unayemwabudu,shwain!Halafu kuna mjinga fulani kisa amekaa Ulaya Uchochoroni, eti anafanya kampeni kuwa Rais wa Tanzania. My foot!!
Nini?Nimeandika nikafuta. Sawa
Salama kabisa, ndio tumetoka kutafuta chochote kitu sasa tunapooza akili jf
Kweli kabisa. Kama yule Chadema wa Tarime aliyemuita mbunge wake Malaya.Hakuna watukanaji kama chadema😣
Mama kasoma alama ZA nyakati
Kumuita Mtu mjinga kisa tu humpendi ni kiwango kikubwa sana cha immaturity
Mmeshamnunua huyo, let's wait and see! Huna haja ya kumtusi mtu, hata ukitumia lugha ya kawaida unaweza kuelezea tu jambo lako hata ni la kipuuzi likaeleweka kwa upuuzi huo!
Ahahahahahaa! Leo Jumamosi. Hilo povu ntalitumia kufulia! Ahahahahahah!Mjinga ni wewe,familia yako na huyo jiwe unayemwabudu,shwain!
Kwanini mnaweka viongozi wenye njaa.....mkipewa nchi si mtaiuza kabisaAmepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
yuko mnadani makelele yote anatafuta top,mfika beiKweli. Hata Lissu anajitangaza ili "anunuliwe" ikiwezekana na mabeberu.
Nimecheka kwa sauti aisee, kwamba Lisu akiwa ikulu ya Chamwino atakuwa na uwezo kubadili katiba bila bunge lenye CCM wengi!Acha hao washamba wajitoe..kura za uraisi kwa Lissu..akiingia Ikulu anabadirisha katiba..hata MiCCM ikiwa mingi bungeni watamfanya mini..
Irrelevant.
Narudia tena, hiyo October 28 hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Yaani wewe una akili kuliko lisu??acha utani.ccm oyeeHalafu kuna mjinga fulani kisa amekaa Ulaya Uchochoroni, eti anafanya kampeni kuwa Rais wa Tanzania. My foot!!
Sasa hapo mna chama kweli?Hawa ndio mamluki waliopenyezwa na ccm wapo wengi na watajitoa baadaye.