Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Uanze Wewe kuacha Ujinga wa hatari wa namna hii.
Pia Uache tabia chafu ya kusambaza hizi Hamasa zako za Mapenzi ya jinsia Moja (Ushoga).

Ukifanya hivyo Mungu atakupenda na kukubariki
 
Nyie machoko tutawapiga vita mpaka muache huo uchoko,
Acha kutetea Mabwabwa hapa.
 
Ushoga hauhusiani na dini. Ni hulka na tabia binafsi za mtu. Pumbavu mkubwa wewe.
 
Uanze Wewe kuacha Ujinga wa hatari wa namna hii.
Pia Uache tabia chafu ya kusambaza hizi Hamasa zako za Mapenzi ya jinsia Moja (Ushoga).

Ukifanya hivyo Mungu atakupenda na kukubariki
Wewe hapo dini yako na mila za kabila lako vinakuruhusu kuwa shoga,
 
Serikali inapokea izo hela tangu inapata uhuru had leo!! uwe unapinga au unakubali serikali yako bado ina sain cheki ya mabilion kila siku……
 
Mkuu huwezi kuwapangia watu namna ya kujibu hoja yako.

Tulia, umeweka hoja yako mezani, vumilia ijadiliwe na kila mtu kwa maoni, uelewa, mtazamo na uzoefu wake.

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa!!!
 
Hivi ushoga uliotamalaki pwani na Pemba umeletwa na misaada?
 
Kupenda kupewa vya bure na watu wa njee ni kuonyesha ni umaskini na pia chochote unaweza pewa ili chamsingi ni kupambana na tulichonacho tusaidiane wenyewe misaada ya nje ina conditions nyingi na hao hawawezi toa msaada bila kunufaika au kutaka kitu fulani na hapo ni kutaka kuaribu kizazi chetu cha badae kiwe cha hovyo kabisa.
Tunahitaji watu wenye hekima na hofu ya Mungu kukemea hili swala maana linaonekana kama halipo lakini katika jamii yetu lipo sana.
 
Wapenda wazungu utawajua tu haya pata ujumbe kutoka kwa mchungaji ado november
 

Attachments

  • Screenshot_20240609-041940_Instagram.jpg
    281.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…