Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Mkuu,

Nitakubaliana na wewe kama utaweka takwimu.

Halafu ninaomba uelewe kapuya foundation ipo ndani ya mipaka ya Tanzania na mada haizungumzii afrika.
Sio lazima ukubaliane na mimi, sikulazimishi asee huo ni msimamo wangu binafsi kama wewe ulivyoamua kusimamia unachoamini, sina haja ya kukupa takwimu yeyote,,,,,.....ila ushoga kwangu kama muafrika ni laana na sio jambo la kutetea
 
Safi sana
 
Hicho kitabu kinasambazwa mashuleni anakiuza kwa watoto hasa darasa la pili maduka yao yapo ilala na temeke hakina mafuzo mazuri kwa watoto zaidi ya Ushoga
 
ila ushoga kwangu kama muafrika ni laana na sio jambo la kutetea
Umejaribu kuongea kitu tofauti na ulichosema mwanzo.

Mimi si kusema si Laana nimesema tatizo la ushoga si Tatizo kubwa hata kwa ngazi ya wilaya. Kiasi cha kwamba kama Taifa tunahitaji kulizungumza na kulipa credit kiasi hichi.

Hata mimi sikubaliani na ushoga lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Tanzania tuna matatizo makubwa kushinda hili linalozungumziwa.
 
Laana tayari ni tatizo na halihitaji takwimu zozote.....we kama kwako sio shida sawa lipokee wewe na uzao wako
 
MH uchunguzi wa Nini tena wakati mhusika ni athumani juma kapuya au ndio Yale Yale ya upembuzi yakunifu utafanyika mama?
 
Nakubali Madame, moja ya mawaziri nnaowakubali sana, nshasema mara kadhaa.

Japo nilitamani kukuona wizara ya Afya, maana we ni Dr (MD) na una MPH +uwezo...so unaijua vizuri sector ya afya na watu wake.
 
Naomba pia tupate tamko kama hilikutoka basata ... kusitisha huduma ya diamond platnumz, zuchu etc. Huu bado ni unafiki kisa media..
Mbona hawafungii wasanii wenye video za utupu?
 
Wakili msomi Abdul,

Kosa hilo ni kosa la aina gani?
Ni kosa la jinai au mnaliweka kwa kundi gani?

Na kama ni kosa la jinai, Jinai maana yake nini?
Kwanini usiangalie kwenye kamusi maana ya jinai kuliko kisumbua watu?
 
Hivyo vitabu mpaka vinaingia nchini, vilipitia wapi mpaka kwenda kuhundulika huko Kaliua wakati vilipokuwa vinaandaliwa kugawiwa kwenye hizo shule?

Hivi kama nchi hatuna mamlaka za ukaguzi na uchunguzi? Mbona viongozi wetu wenye mamlaka mnaonekana mko usingizini sana!!
 
Mbona hawafungii wasanii wenye video za utupu?
Mbahili,

Ni Lini wale twanga pepeta waliokuwa wakivaa nguo vitovu vipo nje na visketi vifupi walifungiwa?

Embu tuletee video za utupu wanazopost tuzione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…