Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

Kuna muhuni aliiba amplifier ya msikitini, sijui kilimkuta nini ila baada siku 3 asubuhi amplifier imetelekwezwa kwenye mlango wa msikiti halafu juu kuna kikaratasi cha kuomba radhi kimeandikwa "nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
 
Nionyeshe alipo nampiga makofi nampora na kila alicho nacho na hanifanyi kitu
 
Kuna muhuni aliiba amplifier ya msikitini, sijui kilimkuta nini ila baada siku 3 asubuhi amplifier imetelekwezwa kwenye mlango wa msikiti halafu juu kuna kikaratasi cha kuomba radhi kimeandikwa "nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea masjid wewe!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna aliiba kanzu ya shekh mmoja baada ya siku tatu huyo mwizi alikuwa na matako usoni. Jamaa aliomba msamaha bila kupenda
 
Mbona sijaona mahali palipoandikwa sheikh kwenye tangazo Hilo?...anataka kumtembeza mtu na mgongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…