Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau wote
Tafadhali husikeni na kichwa cha Habari hapo juu
Pamoja na barua hii nimeambatanisha tangazo husika kwa rejea zaidi
Tafadhali mjulishe mwenzako
View attachment 2075460
Unampa Mwizi siku Kumi na NNE? MPE Tatu tu... Zikizidi Saba tu!Kuna mtu anapigiwa dua soon[emoji28]
Tutajua kama tunakula kwanza ndiyo tuzike au kinyume chake.[emoji1787]tusubiri hiyo tarehe 14 ipite
Nyie matajiri hamuwezi kuzifahamu![emoji4]Infinix Pop 5 ndo simu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muhuni aliiba amplifier ya msikitini, sijui kilimkuta nini ila baada siku 3 asubuhi amplifier imetelekwezwa kwenye mlango wa msikiti halafu juu kuna kikaratasi cha kuomba radhi kimeandikwa "nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
Kuna muhuni aliiba amplifier ya msikitini, sijui kilimkuta nini ila baada siku 3 asubuhi amplifier imetelekwezwa kwenye mlango wa msikiti halafu juu kuna kikaratasi cha kuomba radhi kimeandikwa "nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
Unampa Mwizi siku Kumi na NNE? MPE Tatu tu... Zikizidi Saba tu!
🤣🤣Mambo ya kawaida hayo, hatuna muda wa kwenda sijui polisi au Cyber crime, ambako tunajua usumbufu wake so hii ni clear and faster kupata mali yako.
Mi sio tajiri ila ninavyojua Pop 5 ni Tecno sio InfinixNyie matajiri hamuwezi kuzifahamu![emoji4]