mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kuna uwezekano mkubwa hujui nini maana ya RESEARCH and its application.
Eti mlipuko? Mlipuko gani?
Mwanzoni mlituambia corona ina "mawimbi".
Tukasubiri wimbi la kwanza, likaja likapotea na tukabaki vile vile.
Mkasema linakuja wimbi la pili tukae chonjo — nalo likaja likapotelea mbali.
Sasa hivi mnasema sijui wimbi la tatu!
Kwendeni huko na mawimbi yenu uchwara!
MAJIZI nyinyi!
Kijana kwanini unakosa kuwa mstaarabu?Sio yako wewe na mama yako au?
So hiyo jumuiya ya kimataifa imeshapata dawa ya corona?try to thing globally, dunia nzima watu wanafanya tafiti juu ya kukabiliana na TATIZO JIPYA katika jamii zao, sisi tuna NIMR,TFDA,GCLA na TBS, unadhani kazi ya haya mashirika ni ipi??????? hatuishi peke yetu duniani tunaishi na mataifa mengine lazima tujifunze wengine wanafanyaje ili nasi kama taifa tuchague njia ya kupita and that is what actually done by our president. watanzania tumeathiriwa sana na utawala uliopita. utawala wa kutusi wenzetu kwa kuwaita MABEBERU utawala wa kutotaka kushauriwa wala kujifunza kwa jumuiya za kimataifa nini wanafanya.
Kinachonishangaza mimi, mbona hata hao waliochanjwa bado wanavaa mabarakoa??? kuna nini nyuma ya pazia??? nahisi watu wanamuhujumu mama Samia ki staili fulani, afarakane na wananchi, vifo hakuna, mabarakoa ya nini tena?? hivi pale Kariakoo kama kweli corona ipo kuna mtu angebaki?? na kila siku watu wapo na wanapiga mishemishe kama kawaida!! Mama awe makini na washauri wake, asipokee kila ushauri, mwingine ni wa kumfarakanisha na wananchi.Hawa ni wahuni tu MAJIZI na WAHALIFU wanaotumia kisingizio cha corona-bandia kutaka kupiga pesa, kuwaibia watanzania na kuwaangamiza kwa chanjo za hovyo hovyo.
Hilo genge la madaktari uchwara wenye mabarakoa hawajatueleza ni kwanini watu mitaani hawaugui corona licha ya kutokuchukua tahadhari yoyote kwa miaka miwili sasa.
Hawajatueleza ni kwanini wanataka watu wajifungie vyumbani kwa ugonjwa ambao haupo na hatuoni madhara yake.
Hiyo corona wanayoizungumzia iko kwenye vichwa vyao tu. Ndio maana wamevaa mabarakoa makubwa kuficha nyuso zao kwa aibu ya UGAIDI na WIZI wanaotaka kuufanya.

Kamuulize mama yako!jibu swali, lini sukuma gang walishawahi kumkubali mama?
Kwa hiyo unataka kusema kwamba mama hakuwa anakubaliana na Mwendazake or??jibu swali, lini sukuma gang walishawahi kumkubali mama?
Kwani Mama yangu ndiye kiongozi wenu Mkuu?Kamuulize mama yako!
Acheni kupotosha aiseeeee, mnapata faida gani?Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume.
Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu. Taarifa hii ni ya nchi iliyokumbwa na Corona na yenye hari tata sana. Taarifa hii nahisi ilikua ya Kenya sisi tumecopy na sehemu iliyoandikwa Kenya Tumeandika Tanzania. Tena Kenya yenyewe sio yaleo ni ile Kenya iliyoweka lockdown county 5, lakini yasasa haina huo mfumo unaopendekezwa na tume.
Wote tunajua nchi hii kila pembe hakuna taarifa za hilo janga hata toka kwenye mitandao ya kijamii hatuoni wala kusikia. Sehemu nyingi nchini toka 29 June 2020 serikali iliporuhusu shule kufunguliwa raia tuliachana na tahadhari za Corona. Masuala ya sanitizers, barakoa, maji tiririka na kutokukusanyika yalipotea.
Watu wanakula bata, misibani tunashiriki, viwanjani tunajaa, maeneo yote yamikusanyiko yanajaa mpaka basi lakini vifo wala wagonjwa wa Corona hakuna.
Mama yetu hajawahi kuchukua tahadhari ya Corona wakati wote alikua free ameanza kuvaa barakoa wiki mbili kabla ya ripot ya tume.
Leo Dunia inaanza kutengemaa, ulaya viwanjani wameanza kuruhusu mashabiki, vifo vinapungua, lockdown zimeondolewa eti tume inapendekeza lockdown Tanzania seriously!
Niombe wananchi tuchukue tahadhari lakini hii tume ituambie walikokusanyia data.
YEHODAYA unaongelea kupiga pesa awamu ya 4. Kama wewe ni muelewa maomba nikujulishe kuwa Awamu ya Magufuli imepiga fedha nyingi kuliko jumla ya awamu zote zilizotangulia kuanzia Nyerere hadi KIKWETE.Magenge ya kupiga pesa yanarudi upya kuliko awamu ya nne
Mradi hewa wa CORONA ISIYOKUWEPO HUO UMESHAUNDWA KINACHOSUBIRIWA NI FUNGU TU LA PESA WATU WAPIGE PESA
Alikuwa fisadi mzuri sababu alikwapua lakini tunaona maendeleo kila mitaa lami,umeme kila kijiji ba usiokatika hovyo kwa muda mrefu nk alikuwa fisadi mzuri tofauti na awamu zilizopita ambapo pesa zilikwapuliwa zikaishia akaunti zao binafsi nje ya nchiYEHODAYA unaongelea kupiga pesa awamu ya 4. Kama wewe ni muelewa maomba nikujulishe kuwa Awamu ya Magufuli imepiga fedha nyingi kuliko jumla ya awamu zote zilizotangulia kuanzia Nyerere hadi KIKWETE.
Hakuna fisadi mbaya Kama alivyokuwa Mwendazake
Mwendazake, Maalim Seif na Kijazi wamefagiliwa na wimbi la 2.Eti mlipuko? Mlipuko gani?
Mwanzoni mlituambia corona ina "mawimbi".
Tukasubiri wimbi la kwanza, likaja likapotea na tukabaki vile vile.
Mkasema linakuja wimbi la pili tukae chonjo — nalo likaja likapotelea mbali.
Sasa hivi mnasema sijui wimbi la tatu!
Kwendeni huko na mawimbi yenu uchwara!
MAJIZI nyinyi!
Walitaka kumfurahisha mama,maana hata hayo mabarakoa waliyovaa ni maigizo,hivyi hapo waliposimama wakisoma taarifa kuna tisho kubwa la corona mpaka kushindwa hata kutoa mask wakati wa kusoma ripoti? Kitisho cha hapo kipo juu kuliko kwenye daladala watu wamejaa na pa kukanyaga hakuna?Hawa ni wahuni tu MAJIZI na WAHALIFU wanaotumia kisingizio cha corona-bandia kutaka kupiga pesa, kuwaibia watanzania na kuwaangamiza kwa chanjo za hovyo hovyo.
Hilo genge la madaktari uchwara wenye mabarakoa hawajatueleza ni kwanini watu mitaani hawaugui corona licha ya kutokuchukua tahadhari yoyote kwa miaka miwili sasa.
Hawajatueleza ni kwanini wanataka watu wajifungie vyumbani kwa ugonjwa ambao haupo na hatuoni madhara yake.
Hiyo corona wanayoizungumzia iko kwenye vichwa vyao tu. Ndio maana wamevaa mabarakoa makubwa kuficha nyuso zao kwa aibu ya UGAIDI na WIZI wanaotaka kuufanya.
Hawajui mpaka sasa wanakuna vichwa watu walivyokanyagana kumuaga JPM walitegemea mlipuko wa hatari lakini hakuna kituTangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.
Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.
Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.
Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.
Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita, tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.
Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?
Na Chadema nao wanashqngilia?