#COVID19 Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

Vyombo vya ilinzi na usalama kuwekwa tageti ya kwanza limenifikirisha sana na sijapata majibu,risk yao ya kuambukizwa ni ipi mpaka wawekwe mstari wa mbele? Kama ni ile kukaa pamoja vipi wanafunzi shuleni na vyuoni hawakuwekwa mstari wa mbele?
kama ndiyo ni lazima wawachanje wawachanje kwanza vijana wa JKT baada ya miaka ndo jeshi.
 
Nafuu wewe ndugu yangu unawaza na kuona mbali. Ile tume ni kama imepata ushauri kutoka kwa watu wasiolitakia mema taifa letu.

Ukweli utajulikana tu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hizo chanjo ni nchi gani zimemaliza vifo kutokana na chanjo?
zaidi ya mwaka babu zenu waliotengeza chanjo wamejifungia,wanaogopa nini si wamechanjwa?
waje wajifunze kwetu kuliko kuleta porojo kisa kwa vile wazungu ndo walitengeneza standards za kushughulika na corona,hata kama zimeshindikana ziguatwe tu? Hovyo.
 
Vaa barakoa unapokuwa katika makusanyiko. Mengine yote ni mbwembwe zetu tu.
 
Atakaye kujiponya nafsi yake ataipoteza, hili dudu likipata nguvu hapa nchini unabii wa bill gate ule aliosema maiti zitatapakaa barabarani utatimia dhahiri.
Utaanza na wewe unayeutamani utimie,sisi wengine tunajua kufa kupo tu tusichojua ni lini na kws njia gani.
huwezi mpangia Mungu walitabiri tutakufa wengi sisi badala yake imewala zaidi ya 3m.Afrika hata laki mbili haifiki.
 
👏👍
 
Wewe jamaa unapotosha taarifa.
 
Sijajua hawa maprofesa wamewaza nini.
au labda wameona kuna wagonjwa wa Corona huko mahospitalini.
ILA kama hawajaona wagonjwa wa Corona.huu ushauri wao NI BATILI
Ili waanze kupiga pesa za semina za corona,overtime,na kujipendekeza.
 
Yaani kweli tunakubali vyombo vya usalama wachanjwe!? Hahahhahaa....

Tutavuna tunachopanda
 
Kwenye hili awamu ya 6 imefeli kabisa na nafikiri kuna mambo mengi yatashindwa kutekelezeka awamu hii.
Hayati JPM alianza vizuri kwa kujaribu kuwajenga viongozi kuwa na uwezo wa kutumia maarifa na taaluma zao kutatua matatizo yanayozikabili jamii zetu za kiafrica na si kukopi tu kila jambo linalofanyika kwa wenzetu., na ndiomana Mataifa mengi walimshangaa namna alivyopambana kukabiliana na janga hili lkn mwisho aliibuka mshindi.
Tumeona jinsi sintofahamu ya kuahilishwa kwa mechi ya watani wa jadi bila sababu,na hakuna majibu ku kutoka taasisi au wizara husika, na sasa hili la corona.
Binafsi naanza kukosa imani na selikali hii.
 
Nimefuatilia taarifa ya ripoti, hakuna mahali imesema Tz tunahitaji lock down. Mleta mada umepotosha kwa makusudi.
 
Hivi kumbe wamependekeza lockdown😀😀. Hawa watu wanakung'utwa sio bure
 
Viongozi wa kibongo bongo ni wanafiki tu,na wachumia tumbo,hiyo report imependekeza hayo mambo kwasababu huyu Mama ndivyo hivyo hivyo anavyotaka,swali la kujiuliza ni kwanini huyu Mama anataka hivyo?....kuna shinikizo lolote nyuma ya pazia ?
 
Hawakupendekeza kusali kumuomba Mungu?
 
well said safi safi sana hii taarifa ziwafikie viongozi wanahusika na hili
 
Nimefuatilia taarifa ya ripoti, hakuna mahali imesema Tz tunahitaji lock down. Mleta mada umepotosha kwa makusudi.
Ni kipofu atasema hajaona pendekezo la lockdown.Walipopendekeza takwimu zitangazwe maana yake ndugu yake lockdown yupo njiani.
wanaoamua lockdown ni hao waliotoa pesa za kupambana na janga.
vipimo vyao vyenye kuonyesha hata mapapai postive,itaonyesha maambukizo TZ yapanda kwa kasi,halafu na zile mask Alizo onya mwendazake visa vitaongezeka propaganda za wimbi la tatu limeanza,na mdudu wa India atinga TZ.
Mabeberu yataagiza lockdown ili watu wasiishe,kumbe yanajua baada muda uchumi utaharibika,watu watapoteza kazi.
yataongeza mikopo kwa jina la misaada huku yakipiga faida tokona na mikopo,mask,na ile mivipimo.
Nasema uongo ndugu zangu?
 
kwa sasa hatuna sakata la cvD19 wala hatuna data zinazoonesha wapo victims walioathiriwa na tatizo lenyewe
ndio tume imechunguza ila kuweni makini wapo watu hutumia matatizo ama majanga kama fursa huku wananchi wanakiu cha kufahamu yanayojiri na hataima ya maisha yao
huku kwetu hakuna mgonjwa wala mshukiwa ama vifo vya huo ugonjwa labda huko kwenu
labda lije wimbi la tatu la ugonjwa huu wa mlipuko ila
tuzidi kuchukua taahadhari kama inavyoelekezwa distance ,sanitizer,but sio lockdown sikuhizi wanasayansi wamekuwa wachovu kuchunguza mambi copy n paste ndo nn kupiga pesa huku tunataka kujua yaliyojirii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…