Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mtihan sana tuwasikilize madaktari ukisha ona daktari Katia shaka, achaShida yote hiyo ya Nini?
Kutafuta kumfurahisha binadamu mwenzie?
Kwa mwanaume, ikiwa kibamia inasimama na wazungu wanatoka unapata raha ilele sawa na mwenye mguu wa mtoto kujihangaisha kote huko kwa nini?
Ndo mana madaktari wamesema walipo mpa tahadhari kua Hilo jambo ni hatari nae akafosi wakampa karatsi asaini ili ikitokea kafa wasiwajibishwe naye kweli akasainiKwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?
Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Wanawajibikaje ilihali walitoa tahadhari akafosi akapewa karatasi asaini ili ikitokea kafa wawe Salam nae kweli akasaini hapo madaktari hawana kosaHao madaktari nao wapuuzi,wao wanajua kabisa kitendo fulani au jambo fulani halifai kwanini waliongeza hiyo dozi?
Wao kama wataalamu wanawajibika kw kifo hicho
Ingawa marehemu nae ni mpuuzi mmoja hivi,alifanya kwa ajili ya nani kwanza
Mtihani sana dunia ya Leo ukiona demu anaona humlizishi muache aende kule anakohisi atalizishwa ndo uungwanaNgoja akawaoneshe ilivyo kubwa huko alikoenda
Mwanaume mashine ndo inatutesaIgho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,
Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?Mwanaume mashine ndo inatutesa
Mkuu wewe umefikia wapi ? Nlikua nakuona kule race yako inaendaje ? 😅No fap ni dawa
Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,
Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Kabisa yan, maana watu tunapambana kulidhisha mijitu iliyo kubuhu tunaumia bure na kuzidi kupukutikaKaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?
Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?