Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

Pamoja na yeye kulazimisha, Hakutakiwa kupewa kabisa hata kama amesaini. Leo Siwezi kwenda hospitali nikamlazimisha daktari anipige sindano ya Chloroquine zaidi ya nne, Hata kama nitataka afanye hivyo, hayo ni mauaji.
Hivi unajua wenzetu wana mpaka Saini za kufa yani ukiona maisha yamekushinda, una surrender kuwa sio KESI niuueni nimechoka life, unadedishwa?
 
Hiyo yote kisa demu wake alimwambia anakibamia?
Usikute hata demu hakumwambia umwamba tu jamaa alikuwaga Kesha ongeza kaenda kuongeza tena sasa unajiuliza huyu mtu vipi, nimemkumbuka sheikh wangu Mmoja aliwahi niambia unapo muomba MUNGU mambo fulani usisahau kumuomba utulivu wa nafsi hicho kitu ni muhimu ona sasa
 
Nimewaza sijui alikua na inch ngapi kabla na alitaka iwe inch ngapi baada......

Alazwe pema peponi kamanda.
Mkuu kaongeza mara tano ya ilivo kuwa, unajiuliza Nia yake ilikua njema kweli Kwa mbususu au alitaka kuua?
 
Mkuu nipe elimu nataka kuoa kaka niichape haswa
 
Shida ilianzia kwa wazazi wanampqje mtoto wao jina Tiny hawajui kama mdomo huumba
Dah kweli Hilo nalo neno ilitakiwa abadili jina ajiite dude, ila bado nawazia ule mwili mkubwa, kumbe hawa mabaunsa hamna kitu🤣
 
Kuongeza ndonga
Hiyo hapana nataka ya kufanya mnara ukisoma ukae on 24 hrs, ila mkuu Huwa NAJIULIZA Kuna watu wanadai hamna dawa ya nguvu za kiume kumbe zipo case ni mtonyo tu kama huyu jamaa kaongeza inakosekana ya kufanya mtalimbo ukisoma ukae on 24 hrs
 
Siku yako ikifika huwa inatafutwa sababu tu ili uondoke,maana hata yeye mwenyewe ungemuuliza kwanini anafanya hivyo hana jibu la maana...
 
Siku yako ikifika huwa inatafutwa sababu tu ili uondoke,maana hata yeye mwenyewe ungemuuliza kwanini anafanya hivyo hana jibu la maana...
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hayo mambo ni kumuachia MUNGU, ila sija ona BAYA la jamaa ametaka kutumia kiungo chake vizuri, je angebadili jinsia, ilisemekana humu wafanyiwe hiyo Tina hawatakosekana tena hawahawa wanao ponda
 
Hakika
 
Kwani madaktari Ethics zao zikoje, pale mgonjwa au mtu anapolazimisha kupatiwa huduma ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake?

Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Nimejiuliza kama wewe, hao madaktari kama walifanya ujinga huo washtakiwe
 
Kinachonishangaza, hivi tangu lini mgonjwa anaambiwa sindano moja ila yeye akasema hapana piga zote leo hii hii, inaingia akilini kweli?

Labda alikuwa na tatizo la akili au hizo sindano ndio zinakuza uume akaona adungwe zote iwe kama muwa
 
Kinachonishangaza, hivi tangu lini mgonjwa anaambiwa sindano moja ila yeye akasema hapana piga zote leo hii hii, inaingia akilini kweli?

Labda alikuwa na tatizo la akili au hizo sindano ndio zinakuza uume akaona adungwe zote iwe kama muwa
Mimi naona tatizo sio mgonjwa tatizo ni hao madaktari, kwamba hawajui miiko ya kazi yao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…