Ila aifai kuongeza kama unamatatizo ya moyoHiyo hapana nataka ya kufanya mnara ukisoma ukae on 24 hrs, ila mkuu Huwa NAJIULIZA Kuna watu wanadai hamna dawa ya nguvu za kiume kumbe zipo case ni mtonyo tu kama huyu jamaa kaongeza inakosekana ya kufanya mtalimbo ukisoma ukae on 24 hrs
Duh sitaki ya kuongeza. Nataka hata nikimwaga isilale yani bampa tu bampaπ€£Ila aifai kuongeza kama unamatatizo ya moyo
Ili iweje sasa sikujichosha huko?Duh sitaki ya kuongeza. Nataka hata nikimwaga isilale yani bampa tu bampaπ€£
Hilo nalo ni kweli kwanini wakuabali kuongezaMimi naona tatizo sio mgonjwa tatizo ni hao madaktari, kwamba hawajui miiko ya kazi yao ?
Hapana mkuu nataka yani unauunga mkuu hata vitano mfululu, mpaka demu ajutie kula hela yangu kakaIli iweje sasa sikujichosha huko?
Umri mkuu. Vijana wengine wanateseka sana kisaikolojia kwa mambo ya kufikirika.Shida yote hiyo ya Nini?
Kutafuta kumfurahisha binadamu mwenzie?
Kwa mwanaume, ikiwa kibamia inasimama na wazungu wanatoka unapata raha ilele sawa na mwenye mguu wa mtoto kujihangaisha kote huko kwa nini?
HAhahah! Kumbe hela kuliwa ndio tatizo? Kiujumla uwezi kukomoa hiyo jinsia wewe hela zako mpe mzazi wako au wahitaji au church...Hapana mkuu nataka yani unauunga mkuu hata vitano mfululu, mpaka demu ajutie kula hela yangu kaka
Daktari akiua kwa matibabu kama hayo lazima atafute sababu.Kwamba mtu akilazimisha huduma, unampa hata kwa taaluma yako kama daktari unajua ni hatari?
Alifanya ili kumridhisha mwanamke,Ingawa marehemu nae ni mpuuzi mmoja hivi,alifanya kwa ajili ya nani kwanza
Umenena vema.Kaka siku hizi demu mbaya ni dalili ya kutokua na pesa tu , pesa ikiwepo unapata pisi ya kwenda unacho Fanya, nenda mtaa chukua kademu hata kama kawaida kikubwa historia yake ipo open na nzuri, kapige futa, kafanye kapendeze jichapie mwanetu unakakaza mpaka kaje kapate akili ukubwani usha Jenga ufalme wako pekee, kwishaa, mambo ya kuhangaika kuwaridhisha hawa malaya wamelombwa na watu zaidi ya kumi nani ataweza?
HaswaUmenena vema.
Vijana chukueni ushauri wa kakayenu utawasaidia mbele ya safari
We ulikuwepo? Hv mbn vijana wa siku hawana akili hivi? Huo wote ni uzushiWanawajibikaje ilihali walitoa tahadhari akafosi akapewa karatasi asaini ili ikitokea kafa wawe Salam nae kweli akasaini hapo madaktari hawana kosa
Acha uzushi na post za kishamba hivi, hiyo ripoti iko wapi ulipewa wewe? We kwl ni bwege!Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa,
Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili tofauti ila ye akalazimisha adungwe Kwa kipindi kimoja tu.
Sawa shogaAcha uzushi na post za kishamba hivi, hiyo ripoti iko wapi ulipewa wewe? We kwl ni bwege!
Huyu ni Shoga anatafuta wa kumkuna.Acha uzushi na post za kishamba hivi, hiyo ripoti iko wapi ulipewa wewe? We kwl ni bwege!
Mkuu inaonekana mizimu ya wahamiaji haramu waliotangulia mbele za haki bado zinakuandama πππππ π€£πHuyo ilitakiwa kabla hajazikwa mwili wake ubanikwe kama kibambala cha sato, awekwe makumbusho ili wanaume wajinga kama yeye wajifunze