Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Wala sijawahi kusikia makubaliano yakifanyika kanisani kuwa tunajenga ili tusomeshe wanetu hivyo tuweke gharama ambazo ni affordable kwa kila mmoja.Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Unataka shule zichukue waalimu form 4 failure wawalipe mshahara 50,000 then watoto wenu wakifeli muanze kutoa lawama? ACHA UJINGA elimu bora inahitaji waalimu bora, mazingira bora, chakula bora nk. Hayo yote ni gharamaShule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Umeongea jambo la msingi sana.Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Ili iweje?Ongezeni na ada.
Izo zero zipoteee kabisa 😹Ili iweje?
Mipaka ya majimbo ya kanisa katoliki ni tofauti na mipaka ya serikali. Eg bagamoyo ni jimbo la Morogoro, Mafia ni Jimbo la Dar es Salaam nkToka lini Marian boys ikawa Morogoro na St.Aloysius ikawa Dsm?
Majimbo katolikiToka lini Marian boys ikawa Morogoro na St.Aloysius ikawa Dsm?
Madrasa??? 🤔 🤔 🤔Na Sisi bakwata tutatoa data zetu za ufaulu Kwa shule zetu ndani ya wiki hii......
Wabillah tawfiq!!!!
Huenda wewe ni muumini usiyeweza kulipa ada hiyo,wengine tunalipa.Shule zimejengwa na waumini kwa kukabwa koo ya michango halafu ada inayowekwa waumini hawawezi kumudu kulipia watoto wao kwa shule waliyojenga wao wenyewe.
Itapendeza,ili kuipa serikali motisha iige kwenye hizi taasisi mambo mazuri yanayofanyika.Na Sisi bakwata tutatoa data zetu za ufaulu Kwa shule zetu ndani ya wiki hii......
Wabillah tawfiq!!!!
Basi mchangishwe nyie matajiri mjenge hizo shule mnaoweza kulipa ada, sio kutukamua na sisi fukara tusioweza kulipa ada kwenye shule zenu nyie matajiri.Huenda wewe ni muumini usiyeweza kulipa ada hiyo,wengine tunalipa.
Ongeza juhudi kupambana na ufukara.
unalazimishwa?Basi mchangishwe nyie matajiri mjenge hizo shule mnaoweza kulipa ada, sio kutukamua na sisi fukara tusioweza kulipa ada kwenye shule zenu nyie matajiri.