Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Aliyezitoa atalazimika kumtaja aliyempa, kama ni wakala jina la wakala linakuwepo kwenye risiti, inaonesha wewe hauna akaunti yoyote ya pesa.
 
Huo sio utaratibu wa kibenki ni nchi zisizofuata sheria tu ndizo hufanya hivyo, Magufuli alitumia hiyo mbinu kudhulumu wafanyabiashara kina Mo, lkn dhuluma ina adhabu yake.
 
Yote
Kilichomponza Heche ni kusema uongo kuwa eti hamfahamu Salman
Wakili wa serekali si wamfungulie kesi huyo Selman?
 
hiyo ndo mambo ya mkono mrefu , hapo utatajiwa compliance na vikorokoro vyake
 
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bank
Kwani wewe una uwezo wa kuzuia yeyote ku deposit pesa kwenye bank account yako?

Ukweli ni kuwa yeyote anaweza kuweka pesa kwa account ya mtu bila mwenye account kumjua. Kwa hiyo inawezekana ni hila tu
 
Kwa mfano Mimi nikikutumia Hela katika account yako ya kibenki, nikakwambia mtu mwingine nakumuionesha muamala. Akija kukuambia itakua kosa la benki au langu?
 
Mimi kwasababu sina namna nyingine ya kumsaidia Heche, nitamsii Mungu kama alivyosimama na akina Eliya amsaidie Heche! Si rahisi kabisa kusimama peke yako dhidi ya mamlaka! Ni nguvu za ki Mungu tu!
 
Inafanyika kila namna kuimaliza CHADEMA...
Wana Chadema wapo kwenye mapambano makali sana..
Na kawaida kwenye harakati kama hizi tegemea usaliti, kuwa dis appointed , kuuawa, kufungwa jela... pengine hata kugombana ninyi kwa ninyi... inabidi kujifunga mkanda.. Inabidi kupambana kweli kweli...
 
Kuwa serious! Katuga tasema nani kampa hizo siri...... Na huyu alizipataje.....at the end CRDB watawajibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…