Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hadi waombe msamaha kwa watanzania hadaharaniShahidi aliyepangwa kutoa ushahidi jumatatu baada ya kusikia haya ameonekana Tunduma akielekea Zambia kwa pikipiki.
(Joke [emoji1787][emoji1787])
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi waombe msamaha kwa watanzania hadaharaniShahidi aliyepangwa kutoa ushahidi jumatatu baada ya kusikia haya ameonekana Tunduma akielekea Zambia kwa pikipiki.
(Joke [emoji1787][emoji1787])
Askofu angekuwa mtu mwema angeenda mahakani akatoe ushahidi wa kuwa mbowe si gaidi ingependeza mungu amesema usitumikie ma bwana wa wili ssa Shooo mbona kma anahangaika bibilia yake siasa yake siku ya mwisho Mungu atamuulizaNdugu za Mbowe walifariki kutokana na manyanaso anayofanyiwa ndugu yao ambaye wanayajua maisha yake ya uadilifu.
Askofu Shoo: Mbowe sigaidi.
Kufiwa na mtoto ni jambo kubwa sana na lenye maumivu makali na kwa Waislamu kila msiba ni ukumbusho!!Maumivu ya msiba yanatakiwa kutukumbusha malengo ya kuwepo duniani na pia kupendana na kutakiana mema.Bado sana laana hapa hapa tulishawaambia hizo damu za watu wasio hatia hazitaawaacha salama bado kingai sirro na wengine wote kina j4......
Paschal Mayalla aliwahi kuandika kwamba wajinga wamekuwa wengi sana humu JF siku hizi. Kwahiyo Kuna watu wanataka kutwambia kama asingeliwakamata na kutoa ushahidi mwanae asingelifariki?Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Aliyekufa kama ni mtoto iweje mmpe laana.ana kosa gani,Mahita asingekuwa shahidi mtoto hangBado sana laana hapa hapa tulishawaambia hizo damu za watu wasio hatia hazitaawaacha salama bado kingai sirro na wengine wote kina j4......
Haya maombi n kwa Mungu au shetani🤔🤔Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
Kumbe ni nini? Mnaongea tu bila kujua maandiko, adama alipoasi Mungu alimlaani na kumwambia utakula kwa uchungu na kifo utakufa, na kuna watu Mungu aliwapangia kuishi maisha marefu yenye raha lakini kwa lahana wanazotafuta wenyewe wanafupishiwa maisha na kuishi kwa tabu.Kuna watu wao wanaamini kifo ni laana, wamesahau kabisa kua tumezaliwa ili tufe na haijalishi umri wala hali yako kiafya, maana unaweza Mtu kalazwa ICU lakini anapona wakati kuna Mtu mzima na afya yake anakufa!! Kila nafsi itaonja umauti!!
Mbowe Ana 60,hao uliowataja wanachezea humo au zaidi!Sasa unafiwa na mtoto na wewe mwenyewe hata 50 yrs hujafika,tubuni!Gaidi mbowe amefiwa na kaka,dada,shemeji kwani yeye alitoa ushahidi gani wa uwongo
USSR
Kwenye Biblia Kuna njemba inaitwa Farao ilikataa kuwachia Waisrael. Usiku mmoja Mtoto wake Alifariki. Unadhani mtoto wa Farao alikuwa na Kosa Gani?Aliyekufa kama ni mtoto iweje mmpe laana.ana kosa gani,Mahita asingekuwa shahidi mtoto hang
ekutwa na umauti?
Mungu ndiye apangae
Leo Muumba wetu anamkumbusha Mahita, Kingai na sisi wengine wote kuwa tutende haki, Duniani tunapita tu!Kufa ni jambo la kawaida tu kwani yeye nani asipatwe na msiba?
Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo?
If so,poleni familia
Watakuelewa wachache sana ila huo ndiyo ukweeeeriiiiii.Leo Muumba wetu anamkumbusha Mahita, Kingai na sisi wengine wote kuwa tutende haki, Duniani tunapita tu!
wenye kifo tunakumbushwa kuwa Leo nachotakiwa kufahamu pia ni kuwa laana zipo. Kwa tukip hili, inaweza kuwa ni laana au isiwe, inaweza kuwa laana inayohusiana na kesi hii au mambo mengine tusiyojua.
Chunguza, maisha ya Polisi wa Tanzania, na hasa baada ya kustaafu. Wengi wao humalizia maisha yao kwa taabu sana.
Hawa akina Kingai, Mahita na wenzao, hii kesi ya Mbowe ni moja tu katika matukio mengi wanayofanya polisi kudhulumu watu. Laana kwa polisi wa Tanzania, kiimani, ni dhahiri maana kwa kiasi kikubwa wanatumikia uovu badala ya haki.
Unaweza kuwa unajisifu kuwa umemkomoa Mbowe kwa kumweka ndani, lakini Mungu wa haki anakukumbusha kuwa naweza kukufanya wewe uwe na huzuni zaidi ya hata yule unayemwonea.