Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

Ndugu za Mbowe walifariki kutokana na manyanaso anayofanyiwa ndugu yao ambaye wanayajua maisha yake ya uadilifu.
Askofu Shoo: Mbowe sigaidi.
Askofu angekuwa mtu mwema angeenda mahakani akatoe ushahidi wa kuwa mbowe si gaidi ingependeza mungu amesema usitumikie ma bwana wa wili ssa Shooo mbona kma anahangaika bibilia yake siasa yake siku ya mwisho Mungu atamuuliza
 
Bado sana laana hapa hapa tulishawaambia hizo damu za watu wasio hatia hazitaawaacha salama bado kingai sirro na wengine wote kina j4......
Kufiwa na mtoto ni jambo kubwa sana na lenye maumivu makali na kwa Waislamu kila msiba ni ukumbusho!!Maumivu ya msiba yanatakiwa kutukumbusha malengo ya kuwepo duniani na pia kupendana na kutakiana mema.
Kwangu mimi suala la kumsingizia Mbowe ugaidi ni kubwa lakini Mbowe yuo gerezani,naaamini si pazuri lakini ana nafuu kuliko mahabusu wengine.Sidhani kama alipigwa hata kofi wala kuning'inizwa kama mshikaki.
Kwa ushahidi uliotolewa ni wazi Kingai na team yake ndio zile task force ambazo historia itakuja kuandikwa baadae siku waliopitia mikononi mwao watakapoamua.
Hili suala la karma,mbona wayahudi wanawadungua wapalestina kila siku na bado wapo fit?
Kama habari ni ya kweli basi Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa.Innalillah wainaillahi rajuun.
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Paschal Mayalla aliwahi kuandika kwamba wajinga wamekuwa wengi sana humu JF siku hizi. Kwahiyo Kuna watu wanataka kutwambia kama asingeliwakamata na kutoa ushahidi mwanae asingelifariki?
 
Bado sana laana hapa hapa tulishawaambia hizo damu za watu wasio hatia hazitaawaacha salama bado kingai sirro na wengine wote kina j4......
Aliyekufa kama ni mtoto iweje mmpe laana.ana kosa gani,Mahita asingekuwa shahidi mtoto hang
ekutwa na umauti?
Mungu ndiye apangae
 
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
Haya maombi n kwa Mungu au shetani🤔🤔
 
Kuna watu wao wanaamini kifo ni laana, wamesahau kabisa kua tumezaliwa ili tufe na haijalishi umri wala hali yako kiafya, maana unaweza Mtu kalazwa ICU lakini anapona wakati kuna Mtu mzima na afya yake anakufa!! Kila nafsi itaonja umauti!!
Kumbe ni nini? Mnaongea tu bila kujua maandiko, adama alipoasi Mungu alimlaani na kumwambia utakula kwa uchungu na kifo utakufa, na kuna watu Mungu aliwapangia kuishi maisha marefu yenye raha lakini kwa lahana wanazotafuta wenyewe wanafupishiwa maisha na kuishi kwa tabu.
 
IGP na Mkuu wa majeshi, kaeni chini mtengeneze haya majeshi yakae sawa. Kwa kweli hi kesi ya Mbowe itamdhalilisha IGP.

Mapolisi wameacha kazi zao za kulinda raia na kuingia kwenye siasa. Wanaowaponza wanatafuta vyeo na maarufu. Simameni katikati kutafuta haki kila raia afurahie nchi yake, kamata kamata na kubambikia makesi imewafikisha hapa. Chuki, ubabe na kukomoana haina tija. Wanasiasa wapambane wao kwa wao kwa hoja. Dola na mahakama iheshimike.

Nyakati zinabadilika.
 
Gaidi mbowe amefiwa na kaka,dada,shemeji kwani yeye alitoa ushahidi gani wa uwongo

USSR
Mbowe Ana 60,hao uliowataja wanachezea humo au zaidi!Sasa unafiwa na mtoto na wewe mwenyewe hata 50 yrs hujafika,tubuni!
 
Aliyekufa kama ni mtoto iweje mmpe laana.ana kosa gani,Mahita asingekuwa shahidi mtoto hang
ekutwa na umauti?
Mungu ndiye apangae
Kwenye Biblia Kuna njemba inaitwa Farao ilikataa kuwachia Waisrael. Usiku mmoja Mtoto wake Alifariki. Unadhani mtoto wa Farao alikuwa na Kosa Gani?

Ee Mungu Walinde Wanangu wasiangamie kwa dhambi zangu.
 
Kufa ni jambo la kawaida tu kwani yeye nani asipatwe na msiba?
Leo Muumba wetu anamkumbusha Mahita, Kingai na sisi wengine wote kuwa tutende haki, Duniani tunapita tu!

wenye kifo tunakumbushwa kuwa Leo nachotakiwa kufahamu pia ni kuwa laana zipo. Kwa tukip hili, inaweza kuwa ni laana au isiwe, inaweza kuwa laana inayohusiana na kesi hii au mambo mengine tusiyojua.

Chunguza, maisha ya Polisi wa Tanzania, na hasa baada ya kustaafu. Wengi wao humalizia maisha yao kwa taabu sana.

Hawa akina Kingai, Mahita na wenzao, hii kesi ya Mbowe ni moja tu katika matukio mengi wanayofanya polisi kudhulumu watu. Laana kwa polisi wa Tanzania, kiimani, ni dhahiri maana kwa kiasi kikubwa wanatumikia uovu badala ya haki.

Unaweza kuwa unajisifu kuwa umemkomoa Mbowe kwa kumweka ndani, lakini Mungu wa haki anakukumbusha kuwa naweza kukufanya wewe uwe na huzuni zaidi ya hata yule unayemwonea.
 
Mungu fundi awaondoe kizazi chake chote kina laana ya damu za watu,yeye na baba yake wote laana tupu
Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo?

If so,poleni familia
 
Leo Muumba wetu anamkumbusha Mahita, Kingai na sisi wengine wote kuwa tutende haki, Duniani tunapita tu!

wenye kifo tunakumbushwa kuwa Leo nachotakiwa kufahamu pia ni kuwa laana zipo. Kwa tukip hili, inaweza kuwa ni laana au isiwe, inaweza kuwa laana inayohusiana na kesi hii au mambo mengine tusiyojua.

Chunguza, maisha ya Polisi wa Tanzania, na hasa baada ya kustaafu. Wengi wao humalizia maisha yao kwa taabu sana.

Hawa akina Kingai, Mahita na wenzao, hii kesi ya Mbowe ni moja tu katika matukio mengi wanayofanya polisi kudhulumu watu. Laana kwa polisi wa Tanzania, kiimani, ni dhahiri maana kwa kiasi kikubwa wanatumikia uovu badala ya haki.

Unaweza kuwa unajisifu kuwa umemkomoa Mbowe kwa kumweka ndani, lakini Mungu wa haki anakukumbusha kuwa naweza kukufanya wewe uwe na huzuni zaidi ya hata yule unayemwonea.
Watakuelewa wachache sana ila huo ndiyo ukweeeeriiiiii.

Au nadanganya ndugu zangu?
 
Dawa ya moto ni moto. Tuache kutetea ujinga. Mwanadamu alipoasi, Mungu aliamua kuleta gharika iliyoua kila kiumbe. Tujiulize: Hawo viumbe waliouawa kwa sababu ya dhambi za mwanadamu walikuwa na makosa gani? Acheni dhambi ya kusingizia, Mungu hadhihakiwi. Mungu anapofanya kazi ya kuwaadhibu waovu, mwacheni afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom