Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 403
- 191
WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa taarifa - inamezwa chap bila kuchambuliwa.
Wengi wamekuwa wakali kwa putin bila kujua pande zote mbili. Wengi hawajatambua kwa nini anasema de-nazify.
Historia yetu kufikia vizazi vyetu mbeleni itakuwa ya kutatanisha na kushusha hadhi - wala sio kivingine. Hii ndio nia ya mzungu tokea enzi za warumi. Kanisa lenyewe lilianzisha JESUITS kwa madhumuni ya kupotosha elimu ili itikadi zao zitawale na watawale bila kubishiwa. Wanaamini ukimfundisha binadamu uongo kitapeli na kwa marudio, ataamini uongo kuwa ni ukweli.
Picha hapo chini na pale unapo google 'chief Mkwawa'... oneni uongo ambao utafikia watoto wetu na vizazi vyetu vya mbeleni. Wanahistoria, waandishi - jamani mtu mweusi anza kuchunguza na kuandika historia yako mwenyewe. 'Usipojua historia yako - ni rahisi kurudia makosa'.
...stori mbili tofauti