Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

Kwamba kila mkoa kuwe na Generation source ya umeme? Hilo linawezekana?
 
Huu uzi unachangiwa vema sana. Hakuna uchawa wa aina yeyote ile. Naamini kama kweli watawala wanapenda hii nchi na raia wake watapata kitu hapa cha kukifanyia upembuzi kwa haraka.

Rais Samia, auone huu uzi naamini anaweza pata nguvu ya kufanya kitu.

Hongera kwa wote mnaoweka hoja jadidi za kuinusuru nchi na janga la kukosa umeme.
 
Hongera kwa uchambuzi mzuri!

Kwenye pendekezo lako, wananchi mpo tayari kununua UNIT 1 ya umeme kwa Tsh2500 kwa sasa?
 
Viongozi wa nchi hii hawana tofauti na wamama wanaochukua chakula cha watoto wao na kuwapa majirani. Wako tayari watoto wao wafe njaa lakini wao wasifiwe kwa ukarimu!
Inatakiwa bunge na serikali waangalie hili suala kwa jicho la tatu lasivo, kuna dhahama huko mbele... serilali ije na plan madhubuti
 
Unafikiri Tanzania htuna akili! Basi tu huwa tunajitoa ufahamu...Si unaona hadi Chawa Mwandamizi FOX anaunga Sera ya CHADEMA ya ku menage nchi Kikanda!
 
The only way kuiendesha Tanesco kifaida, kwa capacity ya uelewa wa usimamizi wa Tanzania, ni kuikata mapande sawa na mikoa na kila kipande kiwe huru na kijiendeshe kama pande la kujitgemea kikamilifu.
Hii ndo solution ambayo na mimi naiangalia... kwa namna ilivo hii monopoly ya Tanwsco kusambaza umeme inatakiwa kufa. Tanesco anaweza kuwa regulator tu wa kuangalia utendaji kazi wa makampuni ambayo yatakuwa yanaifanya hiyo kazi. Lakini kwenye kusema kwamba Tanwsco waendelee kushikilia monopoly ya kugenerate na kusambaz umeme, hiyo kazi wameshindwa tayar
 
Tuishi humu 🙌!! Hapa huwez waona chawa wa mama wala wazee wa payroll ya buku tano!!
 
Restructuring plan ya Tanesco ndo hoja inatakiwa kuwa mezani kwa sasa.. kama kuna nchi wamefaulu nadhani hapo ndo pakuanzia kujifunza... Case study zipo nyingi kwamba hicho kitu kinaweza kuwezekana
 
The only way kuiendesha Tanesco kifaida, kwa capacity ya uelewa wa usimamizi wa Tanzania, ni kuikata mapande sawa na mikoa na kila kipande kiwe huru na kijiendeshe kama pande la kujitgemea kikamilifu.
Somehow ina make sense! But kwa ukiritimba wa CCM sidhan kama kutakua na solutions!!
 
Mawazo mazuri sana ila Sasa kwenye uongozi NDIO issue..... implementation yake Kwa Tz ni issue LABDA WATEULIWE MALAIKA KUJA KUSIMAMIA
 
Kuna mikoa itakaa gizani milele
wakiangalia kiwango cha matumizi kwa mkoa au kwa kanda itakuwa ni rahisi kupanga.. kikubwa hapo decentralization hata ikiwa kwa kanda au labda kampuni moja lishike mikoa miwili
 
Nakuunga mkono, hoja ya kuwa na makampuni mengi ndio solution.. Tanesco ibaki kama mwangalizi tu au regulator...
 
Wapeni DPW, TENESCO.
Hi ndio kampuni ya kuiuza jumla.

La mtaendelea kukaa gizani kila siku.
Karne ya 21 mji Mkuu unatawaliwa na Giza.
Tukisema habari za Unyani mnajifanya kukasirika.
Hahahaha pole sana mkuu kwa kukaa gizani... huwa inatia hasira unakuta umeme umekatika zaidi ya masaa 10, siku yote inakuwa imeshaisha
 
Mipango ilianza enzi za mkapa: mipango si utekelezaji,jpm apewe maua yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…