PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bila shaka haliwahusu wananchi. Ni kwa walamba asali tu. Wananchi wanataka haki walamba asali wanataka amani ili waitafune vizuri nchi bila bugudha.

Yeyote utakae muona kongamanoni ujue ni mlamba asali na anasupport mauaji ya watanganyika wenzake.
 
Pumbavu sana we unayejiita Butiku. Unadhani ukiongwa na CCM ndo utaweza kuzuia D9. Pumbavu sana wewe mzee. It is too late
 
Huyu Mzee hamna kitu ashapenyezewa rupia angetulia tu kama kala pesa za watu atafute namna. Mwalimu mwenyewe alikuwa akihubiri kuhusu kizazi cha vijana jeuri chenye kuhoji na akasema majitu manyonyaji yanaogopa revolution
 
Polepole alitushatusanua sana. Wazee watafuta dili la maridhiano...
 
Ni Bora watu wakaenda kwenye Kongamano wakatapike vyote kwakua kule serikali inasikia.

Kwenda barabarani kuandamana ni hakika watu wataumia/ kufa.
Ilo halihitaji elimu ya darasani.

Vijana mtakwisha, subirini tuzaliane/ tuongezeke kwanza.
 
Butiku is now irrelevant, aliunga mkono wauaji.
Morally he is bankrupt.
 
Maria Sarungi mwenyewe hana Tofauti na Abdul.

Siyo kila agenda ya Maria Sarungi ni ya kubebana nayo.
Huyo Maria amejua kucheza na matakwa ya watu, kama unadhani anaungwa mkono kama yeye, mwambie aseme watu wamuunge mkono Samia ulete mrejesho. Mfano mrahisi kigogo alipata wafuasi sana humu mitandaoni kipindi anampiga spana dhalimu Magufuli. Alipoanza kumsifia Samia na kumponda Lisu, akapoteza umaarufu, na hadhubutu kufungua comment. Mwingine
 
Commercial activits wanachoagalia ni pesa na maslahi yao na ndio wavurugaji wakubwa wa movement za umma.

Hata Kenya wamevuruga sana movement za GenZ.

Mfano leo, tumetoka kwenye Oktoba 29, watu wameumia, mtandao umezimwa, watu wamepotea, wengine wanaugulia nyumbani, wengine wako jela ila yeye haraka bila tathmini yoyote wala.kusaodoa misaada ya kibinadamu, akapanga maandamano tena ya D9.

Ukiuliza, tathmini ya Oktoba 29 na majibu yake hupewi jibu.

Wakizima mtandao, inakuwaje?

Wakirusha risasi za moto inakuwaje?

Maandamano ya siku moja hayaangushi serikali, na hakuna mtu ataandamana siku 14 bila chakula wala maji, majibu yakoje??


Ukiuliza unaonekana wewe CCM.

Sana sana CCM wakifanikiwa kudhibiti au watu wasitoke hiyo D9 kutokana na maumivu ambayo bado wanayo, serikali itakuwa imeshinda na imerudisha nguvu iliyokuwa nayo ya kudhibiti maandamano ambayo Oktoba 29 yaliwashinda.
 
Kama unaona maandamano hayana faida sasa si bora ukae kimya tu. Mbuzi wewe
 
Mbona Uyo Maria
Butiku is now irrelevant, aliunga mkono wauaji.
Morally he is bankrupt.
Mbona Maria Salungi na yeye analipwa i kwa kuwashawishi vijana wakapigwe Risasi ili ionekane Samia ame wauwa.

Kila Mbuzi ale kwa urefu wa Kamba yake.
Asichokitaka Maria na Genge lake ni kuona Nchi imetulia na maisha ya kawaida yanaendelea.
 
Kama unaona maandamano hayana faida sasa si bora ukae kimya tu. Mbuzi wewe
Sinasema hayana faida.

Ila nguruwe kama nyie wapiga kelele hamtaonekana..mtaandamana hapa ONLINE.

Ndio maana hakuna kitu mnajua
 
Ni hivi, hakuna popote watu wanandamana kwa maagizo ya mange, ndio maana nimekuambia kama watu wanafanya wasiyoyataka bali kufuata maagizo ya mange, mpeni mange hela maana shida yake ni hela, kisha aagize watu wamsifie/kumkubali Samia na ccm yake, kisha ulete mrejesho.

Watu wanarudi barabarani december 9 maana bado madai yao hayafikiwa. Kibaya zaidi bado utekaji upo, watu hawaoni maiti zao, na hakuna dalili za dhati za serekali kuwajibika kwa mauaji waliyofanya. Tuko tayari kufanya maandamano ya kila mara ili wote tuwe matatizoni hadi tufikie makubaliano ya madai yetu. Sana sana kwa sasa serekali kwa kutumia vyombo vya dola wanaweza kushinda maana wana silaha, ila watakuwa wameshinda pambano na sio vita. Kisasi kitakachojengeka kitatufanya tutafute silaha kama nchi nyingine zilizochoka kutawaliwa kwa shuruti. Utauliza silaha tutapata wapi. Kama unga unaingia, basi hata silaha zitaingia kwa ni njia hiyohiyo, na ole wenu tushike silaha, hapo itakuwa kilio na kusaga meno.
 
Ni Bora watu wakaenda kwenye Kongamano wakatapike vyote kwakua kule serikali inasikia.

Kwenda barabarani kuandamana ni hakika watu wataumia/ kufa.
Ilo halihitaji elimu ya darasani.

Vijana mtakwisha, subirini tuzaliane/ tuongezeke kwanza.
Kwani mara ngapi yanasemwa yanayotakiwa kufanyiwa kazi,hayafanyiwi?
Ngoja wafanye kila wawezalo yawezekana wakafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…