PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hiyo Maria Sarungi amekushikia akili? Mwenzako anaishi Nairobi usikute wewe hata hela ya kuvukia boda huna. Kikiwaka unashinda mkate na soda in door
 
Ungesoma uelewe.

Kwanza sijamtaja Mange.

Nimesema Maria.

Pili, sijapinga maandamano, ninachozunguzmia ni MIKAKATI, TATHMINI na MALENGO unless kama nia ni KUTOFANIKIWA kwenye CHOCHOTE.

Una askari wako, tayari wana majeraha ya risasi wako ndani, wewe unakomaa kama vile hakijatokea kitu.

Huwezi kushinda vita kwa njia hiyo. Tathmini ni jambo muhimu.
 
Ni commercial activist.

Nilimjuaga baada ya kukomaa na kupinga EACOP.
Embu tumuweke pembeni huyo Maria, tuongelee hii mantiki ya Butiku.

Wajuaji wa mambo washasema si leo, siku nyingi tu huko nyuma kwamba Butiku 'ashafika bei', unasemaje kwa hilo?
 
Nimemtaja Mange kwa mazoe jabu lengo ilikuwa ni huyo Maria. Hata hivyo tofauti yao ni ipi kwenye muktadha huu?
Tathimini wanafanya wafanya biashara na sio watafuta haki. Huenda unaongelea biashara kwenye mazingira haya, ndio maana unafikia hitimisho lisilo sahihi.

Ngoja nikupe mfano halisi labda utaeelewa. Huko vijijini watu wanalima na kufuga, sio kwasababu wanapata faida, na ni nadra kufanya hizo tathmini, maana uhalisia wa kilimo ama ufugaji wao ni wa kujikimu, na sio kuwa mabilionea. Kwenye kusaka haki hufanyi tathimini kama ya biashara, bali ni pressure kwa mtesi wako ili asalimu amri.

Hii pressure ya maandmano mengine itaifanya serekali hii haramu hata ikitumia silaha kutuliza hali hiyo, itajua ni kwa kiwango gani imechokwa, na itakuwa na faida zaidi ya waandamanani kwa muda mrefu, kuliko hasara za muda mfupi unazotaka kuonyesha.

NB: Nyie ni wale wasomi msio na uthubutu wowote kwa sababu ya kupata faida na hasara kwenye karatasi, matokeo yake mnaishia kuajiriwa na wasio na elimu lakini wenye uthubutu.
 
Embu tumuweke pembeni huyo Maria, tuongelee hii mantiki ya Butiku.

Wajuaji wa mambo washasema si leo, siku nyingi tu huko nyuma kwamba Butiku 'ashafika bei', unasemaje kwa hilo?
Butiku yuko upande mbovu wa historia baada ya kujitokeza wakati wa kampeni na kujifanya hakuona hatari iliyokuwepo.

Hatujui lengo la hilo tamasha lake na wasemaji ni kina nani.

Maana Taasisi ya Mwalimu Nyerere yeye ni kiongozi tu.
 
Una tatizo la kufikiri.
 
Hata kama ni commercial activity lkn anafaida kwa taifa lake kuliko mbuzi mlio wengi bila faida yeyote.
 
Hata kama ni commercial activity lkn anafaida kwa taifa lake kuliko mbuzi mlio wengi bila faida yeyote.
Anayo faida. Anafanya biashara.

Asingekuwa na faida asingeanzisha kampeni ya kuoinga EACOP.

Pili, siyo kila anayetoa ushauri msioupenda ni CCM.

CCM hawashauriki, na nyie hamshauriki.

Asiyeshaurika hajawahi kufanikiwa.

Walioandamana wengi wako kwenye maombolezo, ila nyie badala ya misaada ya kibindamu mko busy na Part 2...

Hata askari wanaofia vitani, huzikwa kwanza.
 
Watu tunaangalia facts, Tindo amekupa mfano wa aliyekuwa anajiita Kigogo alipokwenda kinyume na matarajio ya wengi leo yupo wapi., watanzania wa leo sio wajinga kuwa wanafuata mkumbo tu.
 
Watu tunaangalia facts, Tindo amekupa mfano wa aliyekuwa anajiita Kigogo alipokwenda kinyume na matarajio ya wengi leo yupo wapi., watanzania wa leo sio wajinga kuwa wanafuata mkumbo tu.
Mimi siyo mfuasi wa mtu.

Hoja ni AGENDA.
 
Ndio tunaongelea hoja hata hizo hoja huwa zinatolewa na watu.
Oktoba 29,

  • Walizima Internet
  • Wakaanza kupiga risasi za moto kikatili
  • Maandamano ya siku moja, hayaangushi serikali, Je, watu wataandamana zaidi ya siku moja bila chakula wala maji?

Ni yapi majibu kutokna na tathmini iliyopita, ili kupata mafanikio kwenye maandamnao yajayo?

Kipi kipya kinachoboreshwa kilichopwaya Oktoba 29??
 
Kwa taarifa yako hajaonekana hadharani wiki sasa, guess what.
 
Huyu mzee ni mpumbavu kama ndugu yake Nyerere aliyetufikisha hapa. Wote ni wa ovyo wanajifanya wanasaidia wananchi kumbe ni wauaji. Nyerere amefanya mengi mabaya kwa nchi yetu na sasa huyu matako anaongea upumbavu. Eti uvunjifu wa amani, aliyevunja amani mbona anajulikana, Samia na Abdul ni wavunjaji amani na wauaji wa wananchi wa Tanganyika, ingekuwa vyema na wewe ungepelekwa ICC pumbavu wewe mzee usiye na akili.
 
Hivi vizee havitakagi kuzungumzia haki....vinajuaga amani ya kunyamaza bila kusema chochote...ila haki havitaki kusema
 
Chakula na Maji watapora kwenye maduka ya watu.๐Ÿ˜€
 
Huyu Mzee alishakosa uhalali wa kusimamia amani
Huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi kwasababu ni mnafiki!! Hafai hata siku moja kuruhusiwa kwa kutumia jina la mwalimu Nyerere kujinufaisha kibinafsi. Huyu ndio mtu aliyemsaliti Polepole unaweza kuamini? Yote hayo kwa kuhongwa pesa na serikali Huyu mtu ni hatari, jamii ya watanganyika imuweke kando!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ