PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
huyu mzee Butiku kaingiwa na virusi gani hivi tena; mbona anajidhalilisha na kulidhalilisha jina la Mwalimu Nyerere kiasi hiki?

Hivyo vikao vina faida gani wakati huu, kama siyo njia za kutafuta kuwapa mwanya hawa waovu waliolinajisi taifa hili?

Hiyo amani ataitoa wapi yeye mzee Butiku na hao anaowaalika?

Kama yeye anajiona anao uwezo wa kuzungumzia amani, basi awawekee kongamano hao wanaovuruga amani ya nchi hii; akina Samia na Genge lake.

Inakuwaje sasa huyu mzee anatumia lugha ile ile ya AMANI, lakini hakumbuki hata mara moja kuzungumzia HAKI?

Huyu mzee kaingiwa na shetani.
 
Basi wewe nenda kawashauri ccm mpaka washaurike
 
SIYO BURE, HUYU MZEE KAKENGEUKA HIVI. kKUNA JAMBO NYUMA YAKE.
 
Bado hawaelewi kuwa si huyu Mzee wala mzee mwingine yoyote anayeweza kusaidia hali iliyopo? Sasa huyu Mzee ataongea nini wananchi wamuelewe? Au Bwana Abdul anapenda tu kuliwa vihela vyake?
 
Acha ujinga umeambiwa huyo maria mpeni mapesa aanze kusifu na kuabudu huko mbogani then ulete feedback
 
Huyo mzee Butiku amekula sana hela za hiyo taasisi.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda huko, labda kama ni kwenda kuchoma viti ukumbini.

Amani gani wanayoenda kuiongelea?

Najua mi uvcc na mipolisi itavaa kiraia na kwenda kushangaa huko, lakini mwenye akili timamu huwezi kwenda kupoteza muda huko.
 
Huyu mzee ni msaliti! Inawezekana kweli ndio waliomsaliti pia Polepole. Mtu umefikia utu uzima mwema alafu unaharibikiwa ukiwa na muda mchache uliobakisha duniani.
 
Acha ujinga umeambiwa huyo maria mpeni mapesa aanze kusifu na kuabudu huko mbogani then ulete feedback
Maria anapokea mapesa, wala hiyo siyo siri.

Anapokea pesa nyingi.tu kupitia taasisi yake ya Change Tanzania, ana kundi lake la kusukuma reli Twitter kama Msabaha.
 
Maria anapokea mapesa, wala hiyo siyo siri.

Anapokea pesa nyingi.tu kupitia taasisi yake ya Change Tanzania, ana kundi lake la kusukuma reli Twitter kama Msabaha.
Kwani kupokea pesa ni kosa inategemea zinasaidiaje jamii, tulikuwa tunapokea pesa za USAID kujengea matundu ya choo, hata Samia alipokea pesa za waarabu akauza bandari.
 
Kwani kupokea pesa ni kosa inategemea zinasaidiaje jamii, tulikuwa tunapokea pesa za USAID kujengea matundu ya choo, hata Samia alipokea pesa za waarabu akauza bandari.
Hoja yangu ni kuwa siyo kila AGENDA ya MARIA inafaa, lazika akili itumike. Kwasababu sigo kipa AGENDA yake ina maslahi kwa umma.

Nikakupa mfano wa EACOP.
 
Hoja yangu ni kuwa siyo kila AGENDA ya MARIA inafaa, lazika akili itumike. Kwasababu sigo kipa AGENDA yake ina maslahi kwa umma.

Nikakupa mfano wa EACOP.
Upo sahihi lkn hii agenda ya maandamano kuutoa utawala dhalimu yupo sahihi kwa 100% hata kama analipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…