Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

TRA TRA TRA. kuna dogo aliingia akiwa field akapata chance akaajiriwa kumbe hakurudi chuo mwaka wa pili ila baada ya miaka mitatu yule dogo ana Audi 2,anamlea mama yake,anamsomesha mdogo ake, ni mwendo wa Hennessy tu yaan ni saiv level zake sio za kawaida tena.
 
Hatari sana
 
Alikuwa anasoma Degree?

Na kama alikuwa anasoma Degree, alikuwa na Diploma pia?
 
Za asubuhi....
Moja kwa moja kwenye mada.
1.TRA
2.MAHAKAMA
3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K
4.TBS
5.MALIASILI
6.HOSPITAL
7.Ongezea zingine
Maliasili baadhi tu mbona nasikia Tawa na Tfs wanakula mshahara wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…